Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asprin na ww upo ndani ya hichi kikwata?Mimi mwanaapolo nakuthibitishia kuwa hii ni habari ya kweli
Nipo napaka grisi vyuma mkuuAsprin na ww upo ndani ya hichi kikwata?
Habari hii ipo humu Jf Miaka sasa, Ngoja tukutafutie Link, Tena imeandikwa kwaurefu.Jana nilikuwa na shost akanionyesha habari inato twmbea mitandaoni.
Ni mwanamama anaeitwa Pili, alitafuta kazi Mirerani Arusha na alifahamishwa kuwa wao hutoa ajira kwa wanaume tu. Aliamua kuanza kuvaa kiume na kujipa jina la kiume, alifanikiwa kupata ajira.
Wafanya kazi wenzako wote walikuwa wanaume, alikunywa nao pombe na kutaniana nao pasi wao kufahamu jinsi a yake kwa miaka mingi.
Ilitokea tukio la ubakaji, mmbakaji alimsinguzia Pili kuwa ndiye aliyefanya tukio lile. Pili alichukuliwa na polisi na kufika kuthibitisha ilibidi ajieleze kuepuka kuwekewa mahabusu ya wanaume.
Kuna mliyoisikia habari hii?
Na kifua chake hakikua na matiti? Au alijibidua kibiongo kujificha? Wasitufanye punguani! Huyu alikua na mtu anamgegedaAnasema khs pedi sijui alikua anatumia pamba na gozi hapo sielewi wanawake watasaidia.
Na alikua akiwa kwenye siku zake anaamua kuwa mpishi wa chakula kwa "manyokaa" haingii underground kuchimba.
Inabidi wamama wengine waangalie mfano huoHuo ni ushujaa wa aina yake!