ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Anaitwa truong my Lan umri ni miaka 67 Tajiri wa ki Vietnam amepatikana na hatua ya kutakatisha hela kwenye Bank moja kubwa Kwa zaidi ya miaka 11.ila nimeshindwa kujua hasa alifanya fraud kivipi Kwa maana hiyo hela aliichukua kama mikopo. Kesi hio Ilikuwa ni kubwa sana kiasi kwamba ilihusisha wanasheria 200 na mashahidi 2700. Ushahidi tu ulikuwa kwenye ma box 104 uzito wa Tani 6.inasemekana labda hio hukumu iliyotolewa ni kama kumtisha tu labda arejeshe hela.