Mwanamama Golda Meir na kisasi cha haki

Mwanamama Golda Meir na kisasi cha haki

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
MWANAMAMA shupavu waziri mkuu wa Israel wa zamani alisimamia operation moja Kali Sana ya kijasusi iliyoanza mwaka 1972 na kuisha miaka ya tisini takriban miaka 20 .

Operation hii iliongozwa na shirika la ujasusi la Israel mossad.

Hii ilikuwa ni baada ya wanariadha wa Israel kuuwawa wakiwa mateka pale Berlin ujerumani.

Waliofanya utekaji huu ni wanamgambo wa Palestine walioitwa Black September .

Kwa hakika wale waliopanga mauwaji Yale ya waisrael waliuwawa wote hakubaki hata mmoja.

Mtu wa mwisho aliuwawa miaka michache iliyopita hii maana yake kisasi chake kilidumu kwa miaka takribani 20.

Kwanini nimeuleta huu uzi

Nawakumbusha watawala wa afrika wanaoamini katika fujo na nguvu dhidi ya wasiokubalina na mawazo Yao kwamba kwasasa watakuwa na kipindi Cha amani kwakuwa Wana dola ila wakumbuke Kuna visasi vinaweza kulipwa hata kwa vizazi vyao.

Wakati wao kwasasa wako kwenye honeymoon wengine Wana incubate maumivu yatakayozaa visasi.

Serikali za afrika zinatumia upinzani wa nyama na c wa maneno siasa ni maneno na sio umwagaji wa damu.

Damu iliyomwagwa na nchi za afrika ililia mbele za Mungu na Mungu alijibu kwa wakati katika kila nchi.

Mzikumbuke siku mbaya zinakuja hata walio na Kinga za KISIASA watadaiwa hesabu ya matendo Yao.
 
Mbona mfano wako wa Mossad na unalozungumzia ni vitu viwili tofauti? Mmechanganyikiwa?
 
Back
Top Bottom