Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

Hii ndio mambo tusiyopenda, mwanamama anahojiwa na Anthony Joseph anadai kazalishwa na askofu. Halafu katelekezwa. Anasema yu tayari kupima DNA. Anasema mtoto ni mjanja mjanja kama Gwajima.
Kumbe yupo Uhuru FM! Hawa ni wale wale.
 
Mchungaji huyu nadhani ndo anaeongoza hapa Tz kwa Skendo Chafua Mara Kavunja Ndoa ya mwimba kwaya Maarufu Mara Kumfunga Mme wa Mwimba kwaya Mara kampa Ujauuzito Mdada na Kumtelekeza

Enyi kondoo wake Huyu Mchungaji wenu kawapa nn kiasi Mnamng'ang'ania kama Kupe wakati ni Mtu Muovu Mno!!!!
 
Inahusiano gani na uchumi wetu?vyeti kwanza kuzalishana baadae.
 
Hii ndio mambo tusiyopenda, mwanamama anahojiwa na Anthony Joseph anadai kazalishwa na askofu. Halafu katelekezwa. Anasema yu tayari kupima DNA. Anasema mtoto ni mjanja mjanja kama Gwajima.
Aisee.Nimeipenda hii. Kama ni kweli bac Gwajima ni dume la mbegu. Sio unakaa na mtoto wa mtu eti umeoa tangu 2009 ndoa haijibu na pia pamoja na kuchepuka hata wakusingiwa huna hii sio.

Hivi yule jamaa kipenzi chetu vyeti kaonesha tayari?
 
Huyo dada kahojiwa na shilawadu wale Wa mawingu, anajikanyaga tu kamezeshwa maneno, eti aliniomba nimzalie sasa si ndiyo katimiza ahadi,
 
Kama kweli madai haya basi walee mtoto wao. Sisi hayatuhusu BASHITE leta vyetiii period
 
Mchungaji huyu nadhani ndo anaeongoza hapa Tz kwa Skendo Chafua Mara Kavunja Ndoa ya mwimba kwaya Maarufu Mara Kumfunga Mme wa Mwimba kwaya Mara kampa Ujauuzito Mdada na Kumtelekeza

Enyi kondoo wake Huyu Mchungaji wenu kawapa nn kiasi Mnamng'ang'ania kama Kupe wakati ni Mtu Muovu Mno!!!!
Kavunja sheria ipi ya nchi? Mashtaka ya kiroho ni Mungu mwamuzi. Hapa duniani tuna sheria zetu. Kama mke wa balozi Mahige (kwa kosa la zebra crossing) aliaibishwa sembuse huyu, Bashite, mwenye tuhuma lukuki.
 
Sawa mm na Amini Ikiwa kweli ni Muovu Iko siku Mwenyezi Mungu Atamfichua Uovu wake!!!
 
Baba askofu Gwajima, bashite kamtuma huyo binti ili akuchafue. Kesho malizia kabisa ile stori yoooote ya bashite uliyoibakiza. Kesho sema yote usiache hata nukta, wamekuchokoza wenyewe.
mie kesho nitafuatilia mahubiri yako mwanzo mwisho. Hivi utakuwa live Tv/redio gani baba mchungaji...??
 
Back
Top Bottom