Ali Hassani
Member
- Oct 30, 2015
- 96
- 39
Kumbe yupo Uhuru FM! Hawa ni wale wale.Hii ndio mambo tusiyopenda, mwanamama anahojiwa na Anthony Joseph anadai kazalishwa na askofu. Halafu katelekezwa. Anasema yu tayari kupima DNA. Anasema mtoto ni mjanja mjanja kama Gwajima.
Weka summary yote kwenye thread yako #1 na siyo kuijibia ndani. Utaishia kulaumu na kutukana wakati kosa lakoMimi nimeripoti tu, otherwise una matatizo
Muhuni mwenye facts za Bashite. Naona mnajaribu kum discredit key witness.Gwajima ni muhuni tu
Aisee.Nimeipenda hii. Kama ni kweli bac Gwajima ni dume la mbegu. Sio unakaa na mtoto wa mtu eti umeoa tangu 2009 ndoa haijibu na pia pamoja na kuchepuka hata wakusingiwa huna hii sio.Hii ndio mambo tusiyopenda, mwanamama anahojiwa na Anthony Joseph anadai kazalishwa na askofu. Halafu katelekezwa. Anasema yu tayari kupima DNA. Anasema mtoto ni mjanja mjanja kama Gwajima.
Kavunja sheria ipi ya nchi? Mashtaka ya kiroho ni Mungu mwamuzi. Hapa duniani tuna sheria zetu. Kama mke wa balozi Mahige (kwa kosa la zebra crossing) aliaibishwa sembuse huyu, Bashite, mwenye tuhuma lukuki.Mchungaji huyu nadhani ndo anaeongoza hapa Tz kwa Skendo Chafua Mara Kavunja Ndoa ya mwimba kwaya Maarufu Mara Kumfunga Mme wa Mwimba kwaya Mara kampa Ujauuzito Mdada na Kumtelekeza
Enyi kondoo wake Huyu Mchungaji wenu kawapa nn kiasi Mnamng'ang'ania kama Kupe wakati ni Mtu Muovu Mno!!!!
Sawa mm na Amini Ikiwa kweli ni Muovu Iko siku Mwenyezi Mungu Atamfichua Uovu wake!!!Kavunja sheria ipi ya nchi? Mashtaka ya kiroho ni Mungu mwamuzi. Hapa duniani tuna sheria zetu. Kama mke wa balozi Mahige (kwa kosa la zebra crossing) aliaibishwa sembuse huyu, Bashite, mwenye tuhuma lukuki.