Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

msituaminishe ujinga apa kwenden zenu uko, sisi tunataka vyeti apa, hamjui kama kumpa mtu mimba na kumzalisha ni moja ya sifa ya kidume? we kama huzalishi bas sio me bali ni ke! tupia vyet mezan apo tuone
You made my night
Hahahhaa
 
key issue vyeetii.
Mgogoro wa Vyeti sisi tunapiga Kelele ktk Mitandao ya Kijamii ila Baba mwenye Nyumba ambaye Ndio Sauti ya Mwisho Yupo Kimyaa anawasikiliza mvyo bwata Ooh Bashite Oh Daudi ina Faida gani Makelele ambayo yamekaliwa kimya na Baba Mwenye Nyumba!!
 
msituaminishe ujinga apa kwenden zenu uko, sisi tunataka vyeti apa, hamjui kama kumpa mtu mimba na kumzalisha ni moja ya sifa ya kidume? we kama huzalishi bas sio me bali ni ke! tupia vyet mezan apo tuone
Daaah.... Mtumish wa mungu kufanya ujinga kama huu n dhambi kubwa sana..kwa nn unadharau madhabahu ya bwana....kwel tuko kwenye nyakat za mwisho
 
Kwani shida iko wapi si kuna dna gwajima ajisafishe na vipimo kisha aendelee na uzi wake wa vyeti kwanza umemsikia dada anavyoongea kama ametumwa basi doh uongo ameweza kuupangilia
Hapo kwa Gwajima naye kwenda kwenye kucheki DNA nadhani naye patakuwa pagumu,atadai yuko bize,movie inaendelea...
 
Ujinga huu.Uhuru FM buana...watz si wale Wa zamani.....hivi mishahara Uhuru mlilipwa?
 
Mkuu mclete siasa kwenye mambo ya mungu....hakika walokole tunaharibiwa
 
Hivi jamani mbona rais wetu mbaguzi wa kutumbua,basi kama hivyo walifoji vyeti warudi kazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…