Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

Hii ndio mambo tusiyopenda, mwanamama anahojiwa na Anthony Joseph anadai kazalishwa na askofu. Half katelekezwa.

> Anasema yu tayari kupima DNA
> Anasema mtoto ni mjanja mjanja kama Gwajima.

View attachment 483081

Tulinganishe maneno ya kwenye clip na rekodi zilizo kwenye kadi.

Huyo msichana anasema alifukuzwa kipindi cha kampeni za uchaguzi wa Rais mwaka juzi akiwa na ujauzito wa mwezi mmoja, let's assume ilikuwa October

then katika hali ya kawaida tunatarajia mtoto azaliwe mwezi wa saba 2016

Lakini kadi inaonyesha mtoto alizaliwa mwezi disemba 2016, yaani kama ni kuzaliwa amezaliwa akiwa ni ujauzito wa miezi si chini ya 14.

Exceptional!
 
Huyu mama anajidhalilisha sana
 
Mbona Mnafuata kichwa Mchunga Nyinyi Akili zenu Mmemwachia Nani eti Mchungaji Anafufua watu Mbona haendi Mwimbili akafufue watu ila waswahili wanasema Wajinga Ndo waliwao

Binafsi nmezaliwa Ubungo Alivyoanza Mchungaji huyo kuhubiri ya kuwa anauwezo wa kufufua watu waliokufa vifo ambavyo sio vya kawaida wakiwemo Misukule alijaza watu wengi sana hapo kanisani kwake Ila baadae wakaja kumgundua kuwa "Anawacheza Shere " wamemkimbia mmebakia nyinyi Vinga'ng'anizi tena Wageni waulizeni Wenyeji wenu wawape Fununu za huyu Muovu aliyevaa vazi la Uchungaji!!!
Awe mchungaji asiwe mchungaji namwamini hadi pale bashite atakapomsuta kwa kuonyesha vyeti vyake. Hiyo nguvu uliyotumia kumchafua Gwajima ungewekeza kumsisitiza bashite aweke vyeti nadhani ingesaidia kupunguza idadi ya wafuasi wanaomiminika kwa baba askofu... 2moro nyomiiiiiiiiiiiiiiii
 
Bashite kafanya kosa kupeleka huo uongo wake uhuru, bora angewashinikiza hau kuwalipa Star tv inge make sense kidogo.
 
Mie naona bora gwajima kamtia mimba wengine wanalawiti vijana wetu....! Kumtia mimba mtu kwa hakika si kosa la jinai....kutekeleza mtoto ni jambo ambalo mama akikaza uzi kidogo hata bila mahakama .....matumizi atapata...si ajabu kwa mtumishi wa mungu kuteleza...aliteleza daudi...samson...suleiman ndo ije iwe kwa gwajima....this is not in the public interest.....what is the public interest ni pale wale maafisa wa serikali wa pale karbu na sayansi mitaa ile pale.....wale jamaa wanaboa kishenz wamenyamazia kitu ambacho ni public interest kabsa....criminal offence kabsa....inaboa sana....but poa....!

Nb: gwajima tafta mmama mwingine...tia mimba...hizo zitakuwa kesi zako na Mungu siye hazituhusu kabsaaa
Ukumbuke huyo Daudi ameshindwa kumtia mimba
 
Hii ndio mambo tusiyopenda, mwanamama anahojiwa na Anthony Joseph anadai kazalishwa na askofu. Half katelekezwa.

> Anasema yu tayari kupima DNA
> Anasema mtoto ni mjanja mjanja kama Gwajima.

View attachment 483081

7ce21c2e5077f3593a52e193a9d8efa0.jpg
 
Awe mchungaji asiwe mchungaji namwamini hadi pale bashite atakapomsuta kwa kuonyesha vyeti vyake. Hiyo nguvu uliyotumia kumchafua Gwajima ungewekeza kumsisitiza bashite aweke vyeti nadhani ingesaidia kupunguza idadi ya wafuasi wanaomiminika kwa baba askofu... 2moro nyomiiiiiiiiiiiiiiii
Gwajima ...tupe ukweli Wa huyu bibie.....ukimshinda bibie huyu mpeleke mahakamani...mdai fidia kiasi cha milioni 200 tu....kwakukudhalilisha...kisha hizo pesa peleka kwa watoto yatima ili iwe funzo kwa wengine kununuliwa nunuliwa kijinga.......ila bashite alete vyeti ........
 
msituaminishe ujinga apa kwenden zenu uko, sisi tunataka vyeti apa, hamjui kama kumpa mtu mimba na kumzalisha ni moja ya sifa ya kidume? we kama huzalishi bas sio me bali ni ke! tupia vyet mezan apo tuone
 
Back
Top Bottom