Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

Kuna video inazunguka mtaani ikimuonyesha binti aliyebeba mtoto akihojiwa na mtu aliyefunika uso wake,

Nimefanya uchunguzi binafsi nakujiridhisha video hii niyakughushi kama vilivyo vyeti vya Daudi Bashite.

Bila kuangalia maudhui yaliyokwenye video, mimi naangalia uhalali wa video na Kadi iliyowekwa hadharani kwamba ni kadi ya kliniki ya mtoto aliyebebwa na mama huyu.

Kuna mambo makuu mawili ambayo kitaalamu kwamjibu wa Sheria ya uchunguzi hasa Forensic Psychology,

Jambo la kwanza ili ugundue kuwa mtu unayezunguma naye au mtu anayezungumza mbele yako ni muongo, utayaona macho yake,

Kuna uongo wakulishwa yani unasisitizwa useme hivi:, na uongo wakutengeza mwenyewe, yani kipaji cha uongo mtu anachozaliwa nacho, hapa kwenye macho hutoa majibu mawili.

Uongo wa kulishwa: Mtu wa aona hiyo utamtambua wakati akiongea mboni za macho yake zile nyeupe zitakuwa zikionekana zote kanakwamba anatumia nguvu hii husababishwa na misuri ya macho kuuvutika...

Uongo wa Kutengeneza mwenyewe: Mtu huyu macho yake huwa hayatazami mbele, huangalia pembeni, Hurusha mikono mara kwa mara aongeapo, hupenda sana kujiapiza.

Kwadhana hiyo sasa nawapeni tafakuri kwa video hiyo muamue huyo binti na kijana anayemhoji aliyeamua kujifunika uso.

Lakini kadi iliyowekwa mitandaoni ikiambatana na video hii kwa lugha rahisi imeivuruga video na kudhihirisha kuwa video hiyo ni feki.

Kuna mapungufu mengi ndani ya kadi hii yanayofuta uhalali wake. Hii kadi mmeshindwa hata kuijaza?

1. Jina la hospital aliyozaliwa,

2. Jina la daktari au mkunga aliyemzalisha.

3. Mhahali anapoishi.

4. Jina la mjumbe/mwenyekiti wa mtaa...

5. Hata muhuri wa kuchonga kariakoo tu au sahihi yakughushi imewashinda?

6. Kingine mtoto amezaliwa tar 3/12/2016 Polio tar 16/01/2017, sindano nyingine 19/01/2017. Tarehe zote alizohudhuria alimkuta daktari/muuguzi yule yule ambaye katika kadi hii hajatajwa kwa jina, ikatumika kalamu ile ile.

7. Kitabibu Mtoto aliyezaliwa tarehe 3 hawezi kuja kupata chanjo ya BCG tarehe 16. Lakini kabla hajapata OPV 0, kaja kupata OPV 1. Hilo halipo hivyo kitabibu

Mkitaka kuwa waongo msisahau vitu vidogovidogo hivi::::::::::::::::::

Niliwahi kutoa afa kwa vijana wa ccm kwamba mataputapu yenu mitandaoni muwe mnaniletea nahariri ndio nawaruhusu mlete mitandanoni

Na Yericko Nyerere

Source: Yerico Nyerere Facebook Page

.
a80aee1c729ccd2de071e340762e0f74.jpg
 
mi nikimsoma au kumsukia gwajima wazo linalokuja akilini ni vyeti vyeti vyeti..nilizan bashite katupia vyeti humu kumbe ni maswala ya bla bla...bashite leta cheti hayo mengine hayana mvuto
 
Ndiyo maana ccm hatwatoi mishahara kwa wafanyakazi Wa radio uhuru
 
Hahaha
Eti mjanja mjanja kama gwajima daaah....

Ila hawa uhuru FM kwa zaidi ya miezi miwili trending ni bashite wa koromije mbona hawajatia neno hata moja ila hii imekua fasta kama moto wa nyika [emoji45] [emoji45] [emoji45]
Iyo ni oder toka juu
 
Tuta mskikia kesho atasema nini,a)bashite tena au b) tuhuma ya mkuzalisha mminiwake /mfanyakazi wake wa usafi ktk Kanisa lake la ufufuo na uzima.
 
Kuna video inazunguka mtaani ikimuonyesha binti aliyebeba mtoto akihojiwa na mtu aliyefunika uso wake,

Nimefanya uchunguzi binafsi nakujiridhisha video hii niyakughushi kama vilivyo vyeti vya Daudi Bashite.

Bila kuangalia maudhui yaliyokwenye video, mimi naangalia uhalali wa video na Kadi iliyowekwa hadharani kwamba ni kadi ya kliniki ya mtoto aliyebebwa na mama huyu.

Kuna mambo makuu mawili ambayo kitaalamu kwamjibu wa Sheria ya uchunguzi hasa Forensic Psychology,

Jambo la kwanza ili ugundue kuwa mtu unayezunguma naye au mtu anayezungumza mbele yako ni muongo, utayaona macho yake,

Kuna uongo wakulishwa yani unasisitizwa useme hivi:, na uongo wakutengeza mwenyewe, yani kipaji cha uongo mtu anachozaliwa nacho, hapa kwenye macho hutoa majibu mawili.

Uongo wa kulishwa: Mtu wa aona hiyo utamtambua wakati akiongea mboni za macho yake zile nyeupe zitakuwa zikionekana zote kanakwamba anatumia nguvu hii husababishwa na misuri ya macho kuuvutika...

Uongo wa Kutengeneza mwenyewe: Mtu huyu macho yake huwa hayatazami mbele, huangalia pembeni, Hurusha mikono mara kwa mara aongeapo, hupenda sana kujiapiza.

Kwadhana hiyo sasa nawapeni tafakuri kwa video hiyo muamue huyo binti na kijana anayemhoji aliyeamua kujifunika uso.

Lakini kadi iliyowekwa mitandaoni ikiambatana na video hii kwa lugha rahisi imeivuruga video na kudhihirisha kuwa video hiyo ni feki.

Kuna mapungufu mengi ndani ya kadi hii yanayofuta uhalali wake. Hii kadi mmeshindwa hata kuijaza?

1. Jina la hospital aliyozaliwa,

2. Jina la daktari au mkunga aliyemzalisha.

3. Mhahali anapoishi.

4. Jina la mjumbe/mwenyekiti wa mtaa...

5. Hata muhuri wa kuchonga kariakoo tu au sahihi yakughushi imewashinda?

6. Kingine mtoto amezaliwa tar 3/12/2016 Polio tar 16/01/2017, sindano nyingine 19/01/2017. Tarehe zote alizohudhuria alimkuta daktari/muuguzi yule yule ambaye katika kadi hii hajatajwa kwa jina, ikatumika kalamu ile ile.

7. Kitabibu Mtoto aliyezaliwa tarehe 3 hawezi kuja kupata chanjo ya BCG tarehe 16. Lakini kabla hajapata OPV 0, kaja kupata OPV 1. Hilo halipo hivyo kitabibu

Mkitaka kuwa waongo msisahau vitu vidogovidogo hivi::::::::::::::::::

Niliwahi kutoa afa kwa vijana wa ccm kwamba mataputapu yenu mitandaoni muwe mnaniletea nahariri ndio nawaruhusu mlete mitandanoni

Na Yericko Nyerere

Source: Yerico Nyerere Facebook Page

.
a80aee1c729ccd2de071e340762e0f74.jpg
Duh! Huyu dada amejifunika uso kweli au Yericko ana makengeza!!
 
hapo ndio utajua walokole wana matatizo makubwa sana.hahahahahaahaahahaa duh!!
 
Daudi Bashite Makonda nimeamini ni fundi wa kufoji mambo... ila forgery ya leo kaumbukaje? Bashite acha blabla weka vyeti hapa
 
Back
Top Bottom