Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gumanga haipo Kiomboi mkuu.Huyu binti ni yatima mzaliwa wa Gumanga Kiomboi Singida. Alikwenda kutafuta msaada wa kiroho ndipo akakutwa na mambo hayo.
Endelea kusasambua huko vyeti vitakusaidia niniGwajima alisema akichokozwa tena wiki hii atafumuka upya hapendi ujinga
Ila kumpa mimba sio kosa la jinai kufoji vyeti ni kosa la jinai ......
Daudi leta vyeti hatujasahau hivyoo
BashiteKumpa mimba mtu mzima na kufoji vyeti nani anaeza kwenda jela???
Hii ndio mambo tusiyopenda, mwanamama anahojiwa na Anthony Joseph anadai kazalishwa na askofu. Half katelekezwa.
> Anasema yu tayari kupima DNA
> Anasema mtoto ni mjanja mjanja kama Gwajima.
Tena wanamchokoza Gwajima mchana kweupe peeee mbuzi anakula majaniHivi si mmeona kwenyewe jinsi anavyochokozwa Gwaji
Hii ndio mambo tusiyopenda, mwanamama anahojiwa na Anthony Joseph anadai kazalishwa na askofu. Half katelekezwa.
> Anasema yu tayari kupima DNA
> Anasema mtoto ni mjanja mjanja kama Gwajima.
Kama wahuni wengine tuu hamna askof pale asiyedhibiti kinywa chake. Akili za kisela sela kabisa afu kawashika watu ndio muokozi hahaha tunashida jamnGwajima ni muhuni tu
Umwamini au usimwamini huongezi wala kupunguza kitu kwake.... Gwajima hajaribiwi...... mke wa mtu kuzalishwa na mme wa mtu ni kupenda mwenyewe na inaonyesha waume zao hawawamudu kunako 6x6... kama anawabaka hilo ni la kujadili ila kama wanakubaliana naye haituhusu.... hapa issue ni vyeti viwekwe mbele kama tai, otherwise hatunyamazi ng'ooooNaona Gwajima achague Kufanya kazi ya Kanisa au afanye siasa maana anatuhuma Sana za kuzalisha wake za watu. Halafu anatumia madhabahu kuhibiri siasa kitu ambacho ni kinyume.Nachelea kumuamini huyu anayejiita mtumishi wa Mungu.