[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]MAMBO YA AJABU SANA KUMTETEA D.A.B PIA KUNUNUA WATU ETI ASKOFU ACHAFUKE NDO KWANZA ANAZIDI KUIMARIKA SASA OLE WAKE HUYO MTOTO ASIWE WA ASKOFU MTATAJANA HADI ULICHOAHIDIWA NA BASHITE. ......MIMBA SIYO AJABU MAANA ILIINGIA SEHEMU HUSIKA JE CHETI NI BASHITE AU PAUL
Kama yy yupo klozi sana na sizonje si achonge mchongo amtengenezee vyeti haya yaisheFrikwensi gani tumsikilizw huyo kada
Kiufupi mimi siwezi kumtetea gwajima katika hili,
Inawezekana alikula tunda... Namshauri tu gwajima amlee huyo mtoto basi.
Ila bashite alete vyeti.
Jamani hy kadi haina jina la clinic mbona????? Wala kijiji alichotoka hyo mama,... Pia imejazwa na wino wa aina moja mwanzo hadi mwisho na ni mtu hyo hyo amejaza kadi nzima.. huu Ubashi jamani ni sheedah!..-[emoji57] [emoji57] [emoji57]Hii ndio mambo tusiyopenda, mwanamama anahojiwa na Anthony Joseph anadai kazalishwa na askofu. Half katelekezwa.
> Anasema yu tayari kupima DNA
> Anasema mtoto ni mjanja mjanja kama Gwajima.
View attachment 483081
Hicho cheti za kuzaliwa huyo mtoto anaedaiwa ni wa Gwajima ni cha kufoji.Mtoto anapozaliwa cheti kinajazwa na aliemzalisha au mtu mwingine ambaye alikwepo pale kazini.Mahudhurio mengine ya kila mwezi cheti si lazima kijazwe yule yule aliejaza mara ya kwanza.Wahudumu wako wengi na wanafanya kazi kwa zamu. Cheti cha mtoto huyu anaedaiwa wa Gwajima kimejazwa na mtu mmoja kuanzia mwanzo hadi mahudhurio mengine tena kwa mwandiko unaofanana.Haiwezekeni hicho cheti kiwe kimejazwa na mtu mmoja.Hakika hii habari ni ya kutunga.Watu wanauzoefu wa kufoji vyeti vya shule na sasa wamefoji na vya kliniki ya watoto.Hapa sasa itazaliwa kesi ya pili ya kufoji cheti cha mtoto.KUNA DADA AITWAE MAMA MAX YUPO KATIKA REDIO UHURU AKITOA USHUHUDA WA KUTIWA UJAUZITO NA KUZALISHWA NA ASKOFU MAARUFU KWA KUDANDIA NA KUROPOKA HOVYO , SASA NA HILI NALO ALIVALIE NJUDA HUKO KANISANI, TAPELI BIN FUSKA MKUBWA
kwani huyo mama yupo kijijini kolu mi je mpaka kukawa na nurse/mkunga mmoja anaetumia pen ya aina moja miezi miwili?Kijijini nesi,mkunga na mtoa dawa ni mmoja tu.
Toeni hadharani vyeti vya makonda ili nae awa prove wrong kama mnavyojaribu kutetea uzinzi.
Mahita aliumbuka kwa mambo kama haya
Na huku umemfuata handsome nani? Hapa ishu ni ya Gwajima, Yeriko, Mtangazaji na Mzazi wewe umemuingiza Makonda.Aisee gwajima ana raha watetezi wote hawa,yaan hata kama mtoto ni wake kiulainii nae atasingizia makonda kapanga mchezo.
Ukiwahi niwekee cti[emoji119]Kesho mapema sana nipo kanisani kwa mjomba gwajima
Ase nna wasi wasi na uwezo wako wa kufikiria....nahc una matatizo ya Afya ya akili yakoDuh! Huyu dada amejifunika uso kweli au Yericko ana makengeza!!
DNA unaweza pewa majibu fake Tu, maana inapimwa sehemu moja kwa walewale, so people are not that foolsAcha upuuzi
1. Mama yupo tayari kupima DNA. unsemaje?
2. Mtoto na gwajima ni copyright. Au wamefanana KWA bahati mbaya?
Shirikisha ubongo na sio unatumia kucha kufikiri
UmeshakimbiaMajini tena bob12 .......ata sijui kama naamin au siamin
Usije na sadaka mm nitatangulia na sadaka yako uje tuUkiwahi niwekee cti[emoji119]
Wanamtia laana huyo mtoto huku wakijua... Bashite Mungu anakuona
KWA MWENDO HUU BALSHITE UTAKUFA BILA MTOTO NA UTAENDELEA KUPIGA NJE.....BORA GWAJIMA ANASINGIZIWA WEWE JE UNASINGIZIWA MAKARATASI TU UNALIA LIA KM MJUKUU WA RUNGWE?
TOA VYETI VYAKO TENA KUANZIA UNAZALIWA HALAFU BRO GWAJIMA YUKO TAYARI KUPIMA D.N.A
Na huku umemfuata handsome nani? Hapa ishu ni ya Gwajima, Yeriko, Mtangazaji na Mzazi wewe umemuingiza Makonda.
Mkuu kuna majukwaa yanakupwaya, au labda jaribu kufikiria mara mbili kila kinachoandikwa.
Usije na sadaka mm nitatangulia na sadaka yako uje tuUkiwahi niwekee cti[emoji119]