Wana Bodi,
Hivi majuzi kiongozi wet mkuu akiwa anaongea na kituo cha TV cha Clouds aliwaambia watangazaji wa kipindi cha nyuzi 360 kuwa yeye ni mpenzi wa kipindi cha SHILAWADU kinachorushwa na stesheni hiyo.
Nilikuwa najiuliza mambo mengi behind mapenzi ya chief kwa Shilawadu na leo nimepata majibu. Nitaelezea kidogo
Leo imesambaa video ya mwanamke mmoja akihojiwa na Soudy Brown, kwa maelezo yake ni kuwa amezaa na "mzee wa Ubuyu" bishop Gwajima na kutelekezwa.
leo hii pia kuna taarifa video hiyo imesambaa baada ya hasa watu wa Clouds kugoma kuirusha jana alhamis kwa sababu walikuwa hawajampata Gwajima kupata the other side of the story. Video hii inahusishwa na Makonda mzee wa vyeti feki akiwa na nia ya kuitumia SHILAWADU kumchafua Gwajibu.
Nilichongámua, mkuu wetu alifanya promo ya kipindi hiki cha Shilawadu ili kuwaandaa watu kisaikolojia wawe wanafatilia maana ingeonekana hata mkuu wetu hufatilia pia. Huu ulikuwa ni mkakati wa kuwaandaa watanzania kumuona Gwajima akiiumbu matokeo yake WAMEUMBUKA wao... Abortive Makonda counterattack.... SHILAWADUUUUUUUU