Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

Hasa herufi 'M' yaani mwandiko umefanana sana(siwez kusema ni ule ule, ila umefanana sana)
 
Duh mnasikitisha sana na kufoji

Hata mnaemsingizia kweli ana akili zaidi yenu basi sababu aliweza kufika hadi chuo.

Ila nyie msiotumia akili ona hata herufi ukianzia E unaona majanga, yaani aliyetaka kuandika kumsingizia Makonda as hata Shilawadu hawajausika nacho ndio amekaa kafikiria weeeeeeee kumchafua Makonda akajaribu labda copy 20 ila bado hakuweza


Ha ha haaaaaaaaaaaaaa


Hamjui kuwa mtu kufoji ni kipaji? So etu alupata 0 ndio mkata kuwaonyesha hao mbulu wenu kuwa na hicho nao wanakubaki.


JPM njoo uanze kuchapa watu viboko wanatia aibu watanzania

Makonda oyeeeeeeeee


Ha ha haaaaaaaaaaaaaaaa

Uongo wa div 1 students ha ha ha haaaaaaaaaa
 
Hiyo handwriting ya cheti na ya karatasi letu la wahalifu ni mtu na ndugu yake au comic sans vs old man book style? Tehe tehe tehe!
 
Anadai alikuwa muumini wake. Mtoto ni Gwajima copyright. Anadai alivyomfuata askofu akamtishia kumfunga. Mtoto anaitwa Max
Mkuu kajipangeni vizuri uko mliko... Mbona story inaonekana ya kutunga? Mtu tena mjamzito upigwe mawe tena hadharani usiende polisi au watu wasikusaidie!!
 
Ukizoea kula haramu ni kama nyama ya mtu huachi kamwe

Japo hizo M zinafanana ila siwezi kuthibitisha Bashite ndio kaandika

Huyu jamaa atagua uchizi siku sio nyingi
 
Kuna kila dalili ya baba mchungaji kuwataka wanashilawadu wakiongozwa na sudi brown kuwasilisha vyeti vyao vya kidato cha nne na vyeti vyao vya taaluma ya kishilawadu......stay tuned and dont touch the dial ....kujua yatakayojiri kanisani leo
Mmh era of reasoning....!!!! Ni wewe best friend jingalao ama naota?
 
Mwite mwenyewe ajitetee kwanini anakutuma wewe?
 
Waswahili hunena njia ya mwongo ni fupi. Kwa kuwa mwongo hudhani kuwa hakuna mtu anayejua siri yake, hivyo daima hafikirii juu ya matokeo ya njia yake fupi. Kwa sababu hii daima hufanya makosa na maneno yake hukinzana na mwisho wa siku hufedheheka na kupoteza heshima yake.
 
Hapo ni chapa ya chapa!! Lakini hata cheti chenyewe hakina jina la Kiliniki wala namba ya mtoto. Kazoea kughushi sasa anaghushi hadi vitu asivyokuwa na utaalamu navyo!!
 

unatatizo
 
Namsihi Millard ayo asiingie huko.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Si kila ampingae Gwajima hana cheti kama kamwokota Makonda kwenye cheti si kila mtu....
Arudishe misukule tuu kuliko kujaza watu habari za vyeti
 
Gwajima alisema akichokozwa tena wiki hii atafumuka upya hapendi ujinga

Ila kumpa mimba sio kosa la jinai kufoji vyeti ni kosa la jinai ......
Daudi leta vyeti hatujasahau hivyoo
Wamefoji na hii kadi ya kliniki pia ujue hlf ukiwa bogus unafoji kibogus bogus kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…