Kazi mnayo
Hivi kabisa huyo Kiongozi mnayemuita jambazi baada ya Vyeti then Magari now ujambazi
Na akili zake timamu afanye haya mliokaa na kutunga?
Ha ha haaaaaaa ajue kupewa rushwa akajikalia kimya wasimpate kuyajua, leo mmetokea wataalamu wa kila taaluma eti nyie ndio mnajua kukagua ha ha haaaaaaaa
Sasa hiyo karatasi hujui hata mbwa anaweza kaa as imezagaa mtandaoni akaandika kukopi mwandiko wake, sababu ndivyo imefanywa.
Ujinga mlionao ni hamko smart, nasema tena vitu mnavyomzushia Mh. Makonda hamko smart kabisaaaaaaa yaani mnatia aibu kuwa watanzania.
Ni kama hamjaenda shule hao wa ngada wanawabeba tu na mnafata mkumbo, mnasikitisha.
Ok kaa chini jifikirie why ufanywe mbululaz?
Eti leo mnamsingizia amefoji vyeti akapita madaraja yote, then today aje aandike kati ya clinic aache yale yamuhimu.....Haaaaaa kwani hamjui kufoji na kupita katika issue ni kutumia akili? So why nyie msio na div 0 ndio mnachemka hivi? Ha ha haaaaaa
Kesho njooni na chu*pi zake na mkewe wanaongwa, na ndala mpaka viatu hata kitanda.
Uongo wenu haujaenda shule kabisaaaaaaaaaa, ni vitukooooooooo.
Waheshimiwa
Makonda oyeeeee, JPM ongeza moto
Nyoosheni vituko vya nchi hiii kabisa
Hapa kazi tu