Mwanamama Mkenya aliyerekodiwa akiwa na mwanaume Mrusi akutwa amefariki dunia

Mwanamama Mkenya aliyerekodiwa akiwa na mwanaume Mrusi akutwa amefariki dunia

Hata kama kweli huyo Mrusi hana Ukimwi. Ila hiyo presha wanayopitia hawa wanawake walionekana nae sio ndogo.

Ni jamba jamba ya kutosha!
 
Watajifunza kwa muda, wafunzwe wanamjuaje mtu mwenye camera iliyotegeshwa
Ikiwa hatutaki dada zetu au mabinti zetu yawakute yaliyowakuta hawa ni lazima yatengenzewe mazingira ya kuwaacha gizani ukisema wapewe mafunzo then huu uchafu utaendelea,waachwe hivi hivi kwenye dilemma.

Maana tutakuwa na wakwe malaya kwa vijana wetu,kuwa na mabinti wenye tabia mbovu za kujitongozesha hovyo kwa wageni so kama mafunzo wapewe mafunzo ya namna ya kuepukana na tamaa mbaya kama ameolewa afunzwe umuhimu wa kukaa na mume na wanae kwa uaminifu kama malaya afunzwe namna ya kufanya umalaya wake kwa tahadhari.
 
Back
Top Bottom