Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Ni mmojawapo wa watendaji wandaamizi wa benki hiyo, mambo anayotuhumiwa nayo ni unyanyasaji wa kingono wa mmoja wa wanaume ambaye ni mfanyakazi wa chini yake katika benki hiyo.
Pamoja na mambo mengine anatuhumiwa kumladhimisha mwanaume huyo ngono kwa njia ya mdomo(kunyonga uume wake) na kumuwekea matiti yake usoni bila ridhaa yake huku akimtolea maneno machafu dhidi ya mke wake!