Huko Ulaya Wanaume waliahakuwa Maboya tuNi mmojawapo wa watendaji wandaamizi wa benki hiyo, mambo anayotuhumiwa nayo ni unyanyasaji wa kingono wa mmoja wa wanaume ambaye ni mfanyakazi wa chini yake katika benki hiyo.
Pamoja na mambo mengine anatuhumiwa kumladhimisha mwanaume huyo ngono kwa njia ya mdomo(kunyonga uume wake) na kumuwekea matiti yake usoni bila ridhaa yake huku akimtolea maneno machafu dhidi ya mke wake!
View attachment 3582285View attachment 3582288
Mwanamke kakosa nini huyu na uzuri wote??Ni mmojawapo wa watendaji wandaamizi wa benki hiyo, mambo anayotuhumiwa nayo ni unyanyasaji wa kingono wa mmoja wa wanaume ambaye ni mfanyakazi wa chini yake katika benki hiyo.
Pamoja na mambo mengine anatuhumiwa kumladhimisha mwanaume huyo ngono kwa njia ya mdomo(kunyonga uume wake) na kumuwekea matiti yake usoni bila ridhaa yake huku akimtolea maneno machafu dhidi ya mke wake!
View attachment 3582285View attachment 3582288
Hii fursa ingekuwa bongoo bhana
Huyu jamaa atakuwa anataka itengeneze mpunga mrefu kwa hii scandal.Huko Ulaya Wanaume waliahakuwa Maboya tu
πππWadada watakavyokuja kumtetea!!
Aaah jamani π€£Ndipo tunapoenda huko, kuna siku wale vijana wenye midomo iliyojaa mafuta nao watafanikiwa kupata haki zao za kunyanyaswa mahakamani maana sasa hivi wanaogopa kuchekwa hawashtaki.