Mwanamama tapeli jijini Dar es Salaam

Hilo li mama linaitwa mama D,ni mbaya amekaa kama kichuguu ki Shape!, kuna tetesi ya kuwa kautafuna mtaji wa mama mmoja alikuwa na duka lake la kukodisha mikanda ya filamu maeneo jirani na shoppers,yule mama kavunja kiduka chake mpaka leo eneo linakuwa chaka.
 

Wadau yawezekana kabisa hawa Wamama watapeli jijini na TZ kwa ujumla wakawa wapo wengi tu. Kama kuna mtu ana habari za Jimama mwingine anayeingiza watu matatani amuweke wazi tu hapa kama kawaida ya wana JF ili watu tuendelee kuchukua tahadhari.
Nawasilisha
 
Only in Tanzania. Ingekuwa nchi nyingine huyu mtu akishukiwa kwa utapeli hata kama ni kwa kusingiziwa tayari angeshahojiwa na wanausalama kujua kama kweli ni tapeli ama la.
 
yes mama...
anafahamika na wengi, ameliza wengi ila she is well connected! Ingewezekana kuweka visa vyake hapa, nadhani tungeshangaa ni kwanini vyombo vya dola vinashindwa kumbana.Maadam hata mafisadi waliokuwa wanaogopewa sasa wameweza kulala rumande basi huenda hata watu kama hawa wakaanza kushughulikiwa.
 
Duh, ukisikia mishen taun......naogopa mie.
 
huyu ni mafia ..mishen taun ni understatement!

anatuaibisha huyu, wanawake na maendeleo lakini hatuendi hivyo bana. Tunatafuta kwa jasho na kuridhika sio tamaa ya utajiri. After all hapa duniani ni pa kupita tu, hata ukiwa na mali kiasi gani zote zinabaki hapahapa.
 
Ama kweli usawa wa kijinsia! Anatia aibu.. na wako wengi hawa kwa sasa hivi....
 
Ama kweli usawa wa kijinsia! Anatia aibu.. na wako wengi hawa kwa sasa hivi....


Toka tumekuwa introduced kwa ujasiria mali, tunafanya yanayotakiwa na yasiyotakiwa. It is good to be agressive lakini isipelekee kukosa utu. Vyombo vya usalama vitawajibika ipasavyo ili kujua mbichi na mbivu na iwe fundisho kwa wanawake na wanaume wote wenye tabia kama hizi.
 



Mh...kaaazi kwelikweli!
 


ALAAAAAH KUMBE!!!!!!
Nilidhani habari zake nilizonazo ni za kiundani sana kwa jinsi ninavyomfahamu!!!
Mjasiriamali umeuaaaa!!!!
Kesi inayoendelea BARCLAYS BANK, OHIO BRANCH anamhifadhi mke wa mtuhumiwa? au ni ndugu yake?
Na kama sio ndugu yake, ni upendo gani huooooo?
LAZIMA KUNA KITU IN-BETWEEN!!!!!!!!!!
Kwani ofisi ya huyo mama inawasaidia watuhumiwa?
Fauzia Mohamed Jamal, mama mlokole, unayeongea vizuri na uchangamfu, unayejifanya kuwasaidia wenye shida, unayehonga watu vijisenti ambavyo mwisho wa siku vinawageuka na kuwaumiza: Kwa habari tulizonazo kuhusu wewe na mali ulizo nazo, kwanini usitulieeeeeeeeeeee??????????????????????????????????
RIDHIKA NA ULICHONACHO WENGINE NAO WAFURAHI
WAHURUMIE UNAOWASUMBUA KWA TAMAA ZAKO
WAPO WENGI WANAPENDA KUFANIKIWA LAKINI SIO KWA MTINDO WAKO
WACHA WATU WACHUME KWA JASHO LAO
KWA NINI UNAPENDA UONGOOOO (ETI MLOKOLE)
HUKU ARUSHA BADO SIJAJUA NI SHAMBA GANI HILO UNALOMILIKI KWA UTAPELI, NINGEJUA NADHANI NINGEUMIA ZAIDI
NAPENDA WAHANGAIKAJI, LAKINI WEWE KIBIBI UNATAKA UFIE MAHAKAMANI?????
JE? UNAWEZA KUWAKUMBUKA WOTE ULIOWADHULUMU NA THAMANI YA DHULUMA HIZO??????
UNATISHA BIBI WEWE; HADI WACHINA MIKOCHENI ULIWALIZA KWA KUCHEZEA MITA ZA TANESCO
HIVI TANESCO WANAHABARI KUWA UNATUMIA VISHOKA KUCHEZEA MITA ZA UMEME?????????
SAMAHANI BIBI, UMEBAKIZA MIAKA MINGAPI YA KUISHI HAPA DUNIANI? MAANA KWA MAMBO UNAYOFANYA ALISTAHILI MWENYE MIAKA 20 ONLY, SASA WW WA MIAKA 70????????????????
NASIKIA HUISHI NA WANAO, WAPO USA KWA OBAMA NA SIO WATU WA SHIDA, UKIFA LEO ATARITHI NANI NA KWA MANUFAA YA NANI?//
H
HAO WANASHERIA UNAOWATUMIA (SIJUI LUTEMA (ALIMUUA MKEWE) NA WENGINE WEENGI) AMBAO KIMSINGI LAO WANALOHITAJI NI MSHIKO TU HUONI KAMA UNAWATAFUTIA MATATIZO BAADAE UTAKAPOWAACHA??????
UTADHULUMU WENGI NA UTAPATA MALI NYINGI, LAKINI KUMBUKA MACHOZI YANAYOWATOKA HAO YATAKURUDIA
WATU NI WENGI (UKIWEPO WEWE) ILA BINADAMU NI WACHACHE KAMA ULIOWADHULUMU, WAPO WANAOTUMIA SHERIA KUDAI HAKI ZAO WANAFANIKIWA WENGINE HAWAFANIKIWI KUTOKANA NA FAULU ZAKO UNAZOCHEZA::::::::::::::::::::::::::::::::::::
CHONDE CHONDE CHONDE BIBI WEWE!!!!!!!! WENGINE SHERIA ZAO WANAZIJUA WENYEWE. PAMOJA NA KUWA UNAWEZA KUWA UMEJIHAMI KWA NAMNA UJUAYO WEWE ILA KUMBUKA; ANAYETENGENEZA BULLET PROOF ANAFAHAMU NI RISASI GANI INAPENYA, ANAYETENGENEZA ANTI VIRUS ANAJUA KUTENGENEZA VIRUS WAKALI ZAIDI, UKIJUA KUSALI WAPO WANAOFAHAMU ZAIDI, UKIRUDI TENA NIGERIA WAPO WANAOISHI HUKO HUKO, UNATEMBELEA BASTOLA, WAPO WANAOTEMBEA NA MABOMU.

IPO SIKU YAKO NA SIO MBALI!!!!!!!!!!!!!!! TAFADHALI ACHA UHUNI MAANA WAKATI ULE ULIPOKUWA CHANGUDOA UHUNI ULE UNATOSHA. UNATAKA HADI SHETANI AKUKANEEE????????????????????

NAANDIKA KWA MACHUNGU MAANA TANGU NIKUFAHAMU NA HABARI ZAKO NA WATU ULIOWASABABISHIA MATATIZO INASIKITISHA.

WADAU EEEEEEEEEEEEEEH!!!!!!

NAOMBENI MUMWOMBEE MAANA HILO KANISA ANALOSALI WANAPENDA PESA ZAKE HIVYO HAKUNA SALA WALA NINI.

SIKU NJEMA WADAU.
 


You're a pervert! 🙂

Am not a pervert what crossed my mind was for a lady above 50 to attract young men and change decision makers mind in her favour may have to bring more to the table(offer something unique).
 
Nahisi namfahamu huyu mama kwenye miaka ya 1999-2000 alihamia nyumba TIB kama miezi sita hivi kabla hazijauzwa akiwa na lengo la kununua jengo moja na roghofa 3. lakini pale masaki alikuwa anaishi na mumewe anayeitwa Jamal (ambaye ni muarabu) na alikuwa na watoto wako marekani huko. Mume wake kipindi hicho alikuwa anaendesha range rover nyekundu, na kwa jinsi alivyokuwa anaongea kipindi hicho inaonyesha likuwa very well connected kwa maana nilimsikia mi mwenyewe akitaja connections zake za huko juu serikalini. Although toka baada ya kuuzwa nyumba hizo za TIB sijui habari zake na wala mumewe yuko wapi, unless tuwe tunaongelea mama mwingine. Lakini kwa kwa maelezo yalivyo yanaendana sana na tabia za huyo ninayemjua mimi.
 
Jamani Jina lake la kuzaliwa ni Flora, Fauzia ni alipompata mwarabu, yeye alizaliwa Moshi na si Mwarabu wala chotara wa kiarabu bali ni chotara wa KIGOA(japo ni siri). niishie hapo maana mengine makubwa sana siyawezi kipimo chake.
 

Mmmmmhhhhhh! Adui yako usimwombee njaa, bali mwombee Kheri aishi siku nyingi ili ukifanikiwa aweze kujionea kwa macho yake mwenyewe na kuona aibu kwa matendo yake aliyoyafanya!
 
Jamani Jina lake la kuzaliwa ni Flora, Fauzia ni alipompata mwarabu, yeye alizaliwa Moshi na si Mwarabu wala chotara wa kiarabu bali ni chotara wa KIGOA(japo ni siri). niishie hapo maana mengine makubwa sana siyawezi kipimo chake.

Hayo makubwa hapa ndo mahala pake! Vinginevyo nawewe utaonekana mbeya!
 
Msimkane na kumbandika makabila na majina yasiyo yake jamani!
Yeye al maarufu Fauzia... kama alibadili jina alipopata mwarabu its immaterial.
 
Usibishe usilolijua ndugu, wengine tunamjua ndani nje. hivyo ukubali kuwa Flora kazaliwa Moshi (baba yake ni Francis japo ni siri ila wamefanana kopi, James kapakaziwa - Baba wote wawili ni marehemu). Msimhukumu kabla ya kufika kwa hakimu.

Issue mkuu siyo hiyo.Kumjua hata sisi tunamjua fika,,na kumjua is not a big deal au achievement to brag about.Issue ni kuwa je leo akikamatwa kwa utapeli au any wrong doing akishtakiwa ataitwaje?Its so obvious kuwa itakuwa ni Fauzia Jamal anashtakiwa maana ndivyo anavyojulikana na hawataenda kwenye historia kuulizia hayo yote unayoyaleta hapa.Tuchukulie kwa mfano angekuwa mwanamke wa mfano wa kuigwa na tukawa tunamsifia hapa kwenye forum, bado ungeleta argument hapa kuwa huyo mnayemsifia haitwi Fauzia bali alizaliwa na Francis akaitwa Flora?
Tuache unafiki na tuangalie issues na material facts na tuache non-issues!
Suala hapa ni mwanamke anayeitwa Fauzia Jamal anavyotesa wenzake kwa vitendo viovu period!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…