Mwanamama tapeli jijini Dar es Salaam

Mwanamama tapeli jijini Dar es Salaam

Hiyo Range Rover nyekundu ni ya mama mmoja ambaye naye kishatepeliw mali myingi sana na huyo mama. Huyu mama ni Mafia wa kimataifa, yaani ni balaa! Ana network hadi Ikulu. NSSF ndo ameishawaliza hadi basi. Kuna kipindi alitaka eti apange tower nzima ya Benjamin Mkapa pension Towers, yenye ghorofa 17 (Zamani mafuta house) kwa kampuni yake ya kisanii inayoitwa Ebony. Mara nyingi anakuwa na bwana mmoja wa Kihaya anadai in mwanasheria wake katika masuala ya mikataba ya kupanga nyumba za mashirika. Kawaida anapo-re-approach shirika husika utasikia akisema kuna wageni wetu wanakuja wa kampuni, so tunahitaji nyumba na office spaces za kutosha. anaingia kwa mkataba wa Ebony, then an sublease at a very crazy rental price. Mara nyingi rental prices za mashirika ziko chini, na huyu mama huwa anaanzia kwa wenyeviti wa bodi, wajumbe wa bodi na kisha mkurugenzi, so afisa kidampa wa chini akiweka "kauzibe" utasikia katupwa Lindi, Tandahimba au Nkasi kama si kuachishwa kazi. Mama mwenyewe ki umri alimtangulia Mh. Spika madarasa matano wakati anasoma. so you can imagine. Huyu mama hayuko peke yake! Kama unaangalia kipindi ch Mikocheni Assemblies of God (Mama Lwakatare) kwenye Tv utaiona timu nzima imekaa viti special pale line ya mbele, na yeye akikuzwa kwa karibu aonekane. Na hii ndo ilitinga bungeni siku Mh. Dr. Mch. anaapishwa.

Huyu ni mtu wa karibu sana na Meneja wa Benki ya Barclays ambaye ametiwa mbaroni kutokana na upotevu wa kiasi cha pesa Tshs. 1.4billion ijumaa iliyopita

Pongezi nyingi Mpendeka kwa hii post!
 
Mjasiriamali Shupavu unanikuna sawasawa,
Kumbe unazoinfor za ndani kiasi hicho kuhusu huyo mama?????
Wewe ni m1 wapo wa aliowalaghai? au ni mkereketwa wa kanisa hiloo???
Duniani kuna mambo kweli.
Nilikuwa nadhani matapeli kama yeye wapo huku Nairobi peke yake kumbe hata TZ mnatuzidi?

Huyo asingesurvive hapa Nai kama angejaribu kuingilia job ya mtu kwa ofisi na kumdismiss ili apate kitu.

sasa? si hata watu wa government wanamjua? mbona hawareact kwake?
au ndio mabo ya kitu kidogo?
bona naskia huyo president wenu ni mkali sana kwa hongo? yeye hamjui huyo mama?

Mimi nilitaka shop pale Mafuta house by then but nikaambiwa nyumba yote imejaa, au ndio yeye aliichukua yote?

Jamani hii ni hatari, government officials lazima wakuwe makini maana anaweza kuwaunganisha na hiyo kitu inaendelea bongo ya EPA.

Yeye hahusiki na Epa?

Naomba infor zaidi
 
Siyo kuwa namtetea..huyu mama yuko kwenye biashara ya real estate kama agent.. huenda anachanganya na utapeli maana analalamikiwa sana.Hili suala la nyumba nadhani kwa wale wenye idea na real estate bongo mnajua wanavyo operate.At times wanatumia mbinu unconventional kupata prime properties ili wapate manufaa makubwa wanapopangisha.Huenda pia kuna njama na wahusika wakuu huko serikalini ama kwenye mashirika yenye nyumba hizo for the obvious reason kuwa huenda kuna comission..sijui lakini im just guessing.
 
huyu mama anatisha kani jinsi alivyofuzu kwenye degree ya utapeli. ni kwamba alishamliza muheshimiwa chenge wakati akiwa mwanasheria mkuu wa serekali. walikua wanagombea nyumaba moja hapa jijini chhege aliweka mawakili hadi mahakama ya rufaa lakini jimama liliwahonga fedha na uroda juu mawakiliwote na hatime kushida kesi. NB; kwa habari za kuaminika huyu jimama ana miaka 70.
 
Hautakuwa uroda tena!
 
duh mshkaji mpendeka, umenikumbusha machugu ya huyo mama.
Namfahamu kiasi kutokana na utapeli/ulaghai wake.
Anaitwa fauzia jamal mohamed, anamiliki kampuni kibao ikiwepo moja inaitwa ebony, sifahamu makao yake makuu.

Ebwanaeee..!!!! Huyu mama ukikutana nae anga zake na ukiwa katika nafasi yenye maslahi yake anakugeuza kama mwanae mradi tu afanikishe lengo lake. Hivi juzi juzi nilikutana nae moshi mjini sijui kama hajamliza mtu huko maana namwogopa sana. Kwa kufoji nyaraka ni mtaalam, kwa kuhonga wanaohusika ni mwenyewe, kwa kupenda kesi ndo usiseme.
Sijui anategemea nini hapa duniani.
Nimeshtushwa zaidi kusikia ni muumini wa kanisa maarufu la kilikole la mh/dkt/mchungaji lwakatare hapo mikocheni dar es salaam.

Duh watu wawe makini nae kweli
hapa unamfahamu
mjasiriamali shupavu unanikuna sawasawa,
kumbe unazoinfor za ndani kiasi hicho kuhusu huyo mama?????
Wewe ni m1 wapo wa aliowalaghai? Au ni mkereketwa wa kanisa hiloo???
Duniani kuna mambo kweli.
Nilikuwa nadhani matapeli kama yeye wapo huku nairobi peke yake kumbe hata tz mnatuzidi?

Huyo asingesurvive hapa nai kama angejaribu kuingilia job ya mtu kwa ofisi na kumdismiss ili apate kitu.

Sasa? Si hata watu wa government wanamjua? Mbona hawareact kwake?
Au ndio mabo ya kitu kidogo?
Bona naskia huyo president wenu ni mkali sana kwa hongo? Yeye hamjui huyo mama?

Mimi nilitaka shop pale mafuta house by then but nikaambiwa nyumba yote imejaa, au ndio yeye aliichukua yote?

Jamani hii ni hatari, government officials lazima wakuwe makini maana anaweza kuwaunganisha na hiyo kitu inaendelea bongo ya epa.

Yeye hahusiki na epa?

Naomba infor zaidi

hapa umeshakuwa mkenya wa nai(robi) na lafudhi imebadilika humfahamu!!!sio wewe ulotutajia jina lake na la kampuni yake?
 
hapa unamfahamu

hapa umeshakuwa mkenya wa nai(robi) na lafudhi imebadilika humfahamu!!!sio wewe ulotutajia jina lake na la kampuni yake?

wadau eeeeh!!!!
Huyu jamaa amejiita "mtetezi wao" ameingia kwa jina langu. Infact sijui ni mkenya au anazuga maana simwelewi. Mimi ndo "mtetezi wao" na tayari nimechange password ili asipotoshe jamii.

Namfahamu huyo mama, huyo "mtetezi wao" asiyemfahamu ni tapeli na yeye.
 
Waeleze!
Huyo anayesema Fauzia ana miaka 70 labda hamjui .

Ni kweli huyo mama ana miaka 70 lakini anapenda sana kujiweka kama kijana na anapenda sana vijana wadogo. Hata mme wake anaekaa marekani ni mdogo sana kwake.

Mama nitapeli wa nyumba na viwanja kupita kiasi. Sijui kwanini hajakamatwa mpaka leo. Anapenda kurusha watu hela sana na kujifanya anajua wakubwa wote. Hana lolote english yenyewe matatizo. Sio chotara wala nini ni viarabu koko vya kutoka moshi. hicho ni kibibi cha kichagga.
 
wadau eeeeh!!!!
Huyu jamaa amejiita "mtetezi wao" ameingia kwa jina langu. Infact sijui ni mkenya au anazuga maana simwelewi. Mimi ndo "mtetezi wao" na tayari nimechange password ili asipotoshe jamii.

Namfahamu huyo mama, huyo "mtetezi wao" asiyemfahamu ni tapeli na yeye.

Na una bahati jamaa amekufanyia uungwana, kwani alikuwa ana uwezo wa ku-change password kabla wewe hujachange, na hapo ndipo ungepoteza kabisa uwezo wa kulogin as Mtetezi Wao.
Matapeli wengi!
 
WomenofSubstanc, huyu mama huwezi kumwita estate agent, kwa sababu yeye anachofanya ni utapeli typical! huwa anachukua nyumba za mashirika kwa madai wageni wake wa kampuni yake ya EBONY wanakuja kutoka ulaya, so anaingia mkataba kwa jina la Ebony. Then anaziweka nyumba sokoni, matokeo yake analiingiza shirika husika kwenye disputes kwani wateja hapati na anapopewa invoice alipe anapiga danadana kwa kuwalainisha wakubwa husika. Nyumba kadhaa anazozimiliki Masaki na Oysterbay amezitapeli toka kwa mashirika tofauti ikiwemo NIC, NHC, NSSF, Ushirika na Bandari kwa kutengeneza hati na mikataba feki ya mauzo (sale agreements)

Yule mama aliyemtapeli Range Rover nyekundu, amemdhulumu pia heka 500 za ardhi kule Arusha, ameshabadili hati na iko kwenye jina lake.

Leo hii mchana nimepishana naye Barclays House kama kawaida yake anaingia Barclays Bank. wengi wanafikiri ni mwajiriwa wa benki hiyo, na junior staff wanamwogopa balaa.

Inasemerkana amemhifadhi mke wa Meneja wa Barclays Bank aliyetiwa ndani hivi karibuni kutokana na upotevu wa pesa.
 
wekeni picha yake hapo juu huyo mama tumwone.

Jamani nami naomba muweke picha yake hapa. Inaelekea ni hatari sana kwa utapeli wa aina nyingi. Au ni ndugu yake Papa Msofe nini???? Mods naomba ikiwezekana tuweke topic inayozungumzia matapeli Tanzania na watu wawe wanapost hapo ili tuwafahamu. Hii itasaidia sana.
 
Wazo zuri sana, kwani story ya huyu mama inatisha yaani utadhani hadithi ya kubuni!
 
WomenofSubstanc, huyu mama huwezi kumwita estate agent, kwa sababu yeye anachofanya ni utapeli typical! huwa anachukua nyumba za mashirika kwa madai wageni wake wa kampuni yake ya EBONY wanakuja kutoka ulaya, so anaingia mkataba kwa jina la Ebony. Then anaziweka nyumba sokoni, matokeo yake analiingiza shirika husika kwenye disputes kwani wateja hapati na anapopewa invoice alipe anapiga danadana kwa kuwalainisha wakubwa husika. Nyumba kadhaa anazozimiliki Masaki na Oysterbay amezitapeli toka kwa mashirika tofauti ikiwemo NIC, NHC, NSSF, Ushirika na Bandari kwa kutengeneza hati na mikataba feki ya mauzo (sale agreements)

Yule mama aliyemtapeli Range Rover nyekundu, amemdhulumu pia heka 500 za ardhi kule Arusha, ameshabadili hati na iko kwenye jina lake.

Leo hii mchana nimepishana naye Barclays House kama kawaida yake anaingia Barclays Bank. wengi wanafikiri ni mwajiriwa wa benki hiyo, na junior staff wanamwogopa balaa.

Inasemerkana amemhifadhi mke wa Meneja wa Barclays Bank aliyetiwa ndani hivi karibuni kutokana na upotevu wa pesa.

Unachosema naweza kukubaliana nawe..ila hufanya hiyo "biashara yake ya nyumba" kama agent na nilipokutana naye kwa mara ya kwanza ilikuwa kwa misingi hiyo..bahati nzuri sikuchukua nyumba kwake.
Ni kweli kuwa amewaingiza watu wengi kwenye matatizo hata mpaka ya kiuhamiaji.Ni vizuri kuendelea kupata data ili kuepukana na madhila.
Ni mwanamke anayeweza kumfikisha mtu pabaya sana!

Ila huyo anayesema ana miaka sabini ameniacha mdomo wazi maana kama ni kweli nadhani ni muujiza! ila hiyo si issue hapa.
 
Back
Top Bottom