Katikomile
JF-Expert Member
- Jul 12, 2007
- 471
- 74
Hiyo Range Rover nyekundu ni ya mama mmoja ambaye naye kishatepeliw mali myingi sana na huyo mama. Huyu mama ni Mafia wa kimataifa, yaani ni balaa! Ana network hadi Ikulu. NSSF ndo ameishawaliza hadi basi. Kuna kipindi alitaka eti apange tower nzima ya Benjamin Mkapa pension Towers, yenye ghorofa 17 (Zamani mafuta house) kwa kampuni yake ya kisanii inayoitwa Ebony. Mara nyingi anakuwa na bwana mmoja wa Kihaya anadai in mwanasheria wake katika masuala ya mikataba ya kupanga nyumba za mashirika. Kawaida anapo-re-approach shirika husika utasikia akisema kuna wageni wetu wanakuja wa kampuni, so tunahitaji nyumba na office spaces za kutosha. anaingia kwa mkataba wa Ebony, then an sublease at a very crazy rental price. Mara nyingi rental prices za mashirika ziko chini, na huyu mama huwa anaanzia kwa wenyeviti wa bodi, wajumbe wa bodi na kisha mkurugenzi, so afisa kidampa wa chini akiweka "kauzibe" utasikia katupwa Lindi, Tandahimba au Nkasi kama si kuachishwa kazi. Mama mwenyewe ki umri alimtangulia Mh. Spika madarasa matano wakati anasoma. so you can imagine. Huyu mama hayuko peke yake! Kama unaangalia kipindi ch Mikocheni Assemblies of God (Mama Lwakatare) kwenye Tv utaiona timu nzima imekaa viti special pale line ya mbele, na yeye akikuzwa kwa karibu aonekane. Na hii ndo ilitinga bungeni siku Mh. Dr. Mch. anaapishwa.
Huyu ni mtu wa karibu sana na Meneja wa Benki ya Barclays ambaye ametiwa mbaroni kutokana na upotevu wa kiasi cha pesa Tshs. 1.4billion ijumaa iliyopita
Pongezi nyingi Mpendeka kwa hii post!
Huyu ni mtu wa karibu sana na Meneja wa Benki ya Barclays ambaye ametiwa mbaroni kutokana na upotevu wa kiasi cha pesa Tshs. 1.4billion ijumaa iliyopita
Pongezi nyingi Mpendeka kwa hii post!