Mkogoti
TAPELI Mkubwa
- May 3, 2020
- 2,415
- 3,924
Duu ebana eeh noma sana kumbe dunia ina mengi 😳huyo mtoto ni hatari na nusu,ni muigiza picha za wakubwa,yani kwa kifupi ni hivi mkuu,hawa ma super star wa kizungu unaowaona huwa wanachukuliwa sana na ma don wa middle east au ma dictator mfano mtoto wa Saddam aliitwa uday hussein na mtoto wa Gaddafi wamewatumia sana