"Rottweiler" anataka vyote!
Ila Camilla pamoja na kuivunja ndoa ya Di, kaipataga fresh hata kama anazeeka...
Kuna siku kaenda supermarket moja hapo Liverpool waingereza walimzomea na kumrushia vichupa tupu vya maji, yaani ni anachukiwa huyo vibaya vibaya!
Siku nyingine tena akiwa bwaksi bin tungii kadondoka mtaroni na Jeep usiku wa manane tena pekea ake, sasa ile mapolisi wanaenda kuangalia ni raia gani kadumbukia mtaroni, wakakuta ni Camilla wee kwani walimtoa?
Mpaka alipopiga simu kuomba msaada!
Waingereza walimwapia hawatamsamehe kamwe!
Time is a good judge, nadhani ipo siku tu itafika, tena black pure toka Tandale, sema kuonana tu ndo iwe shida. Lilianza na King Edward III, mapenzi hayana formula. Ila pia tunajifunza kwamba, binadamu sote ni sawa. Tuachane na mipropaganda yao, eti IQ sijui mi nini, wakati wengine kwa upendo wao walisumbuliwa na kuzibiwa mengi.
Inawezekana kabisa, malkia wa Uingereza au mfalme akaja tokea akawa ni black mtanzania, God is one, different colour,one people.
Except Her Majesty & King....princess Anna, Andrew, Edward, Zara, Peter, Beatrice & Eugenia wana ishu gani?
Hapo sijamzungumzia late Princess Margeth kula kulala na kufuja mali za umma, mpenda starehe Kazi kuchukua mimeli ya kifalme na viserengeti boys huyooo Miami full bata mwaka mzima[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haaa haaa....sugu la goti linamhusu!Naona Meghan ataanza kujifunza kupigia goti royals wakati wa kusalimia, unlike Americans.
Halafu kumbe hao royals wengine hapo juu inabidi pia kuwapigia, mie nikafikiri goti linapigwa kwa Queen, Prince Philip na Prince Charles pekee!
Kumbe hata hao mawifi gubu Beatrice na Eugenia itabidi kuwapigia goti kama Harry hatakuwa hayupo nae at that time?!, kazi ipo..
View attachment 640342
Naona kuna kufundishwa jinsi ya kula, kunywa, kushika vyombo, mpaka pochi
View attachment 640343
View attachment 640344
6 Royal Etiquette Lessons Meghan Markle Must Master If She Becomes a Princess
Hivi hii habari inatuhusu nini wa TZ wa kawaida !
Mwanamfalme wa Uingereza Harry na mchumba wake muigizaji wa Marekani Meghan Markle watafunga ndoa mwakani, taarifa iliyotolewa na makazi ya kifalme ya jijini London (Clarence House) imeeleza.
========
Prince Harry is to marry his American actor girlfriend Meghan Markle in spring next year, Clarence House has announced.
“His Royal Highness the Prince of Wales is delighted to announce the engagement of Prince Harry to Ms Meghan Markle,” it said in a statement on Monday.
The ceremony is likely to be conducted by Justin Welby, the archbishop of Canterbury, who said he was delighted by the news and had been impressed by Harry’s “immense love for his family”.
Harry’s brother and sister-in-law, Prince William and Kate, said: “We are very excited for Harry and Meghan. It has been wonderful getting to know Meghan and to see how happy she and Harry are together.”
Clarence House said the couple got engaged in London this month. They were expected to show off the engagement ring at a photo call later on Monday.
A date and venue for the wedding will have been decided already, with March being the most likely month, leaving enough time to ensure Kate is not about to give birth to her third child.
The couple would live in Nottingham Cottage at Kensington Palace.
News of the wedding will prompt a media frenzy that is likely to further test Harry’s relationship with the press. The prince, 33, spoke out about the way Markle, who is divorced, was portrayed when news of the relationship became public just over a year ago.
Markle and Harry were reportedly introduced by the consultant Markus Anderson in 2016. Their relationship became public after about six months.
In September this year, in an interview with Vanity Fair, Markle spoke about her relationship with Harry, saying: “We’re two people who are really happy and in love. We were very quietly dating for about six months before it became news, and I was working during that whole time, and the only thing that changed was people’s perception.”
In the same month, the couple made their first public appearance, at the Invictus Games in Toronto.
Markle has spoken of her heritage as a source of pride. “My dad is Caucasian and my mom is African-American,” she has said in the past. “To say who I am, to share where I’m from, to voice my pride in being a strong, confident mixed-race woman.”
Her parents, Thomas Markle and Doria Ragland, said in a statement on Monday: “We are incredibly happy for Meghan and Harry. Our daughter has always been a kind and loving person. To see her union with Harry, who shares the same qualities, is a source of great joy for us as parents. We wish them a lifetime of
happiness and are very excited for their future together.”
The statement from Clarence House said: “Prince Harry has informed Her Majesty the Queen and other close members of his family.”
The Queen and Duke of Edinburgh “are delighted for the couple and wish them every happiness”, a Buckingham Palace spokesman said.
Theresa May offered her “very warmest congratulations” to the couple.
“This is a time of huge celebration and excitement for two people in love and, on behalf of myself, the government and the country, I wish them great happiness for the future,” the prime minister said in a statement
He condemned some of the newspaper reports and comment pieces as racist – Markle, 36, is mixed race – and sexist. His spokesman criticised the “racial undertones of comment pieces” and referred to “the nightly legal battles to keep defamatory stories out of papers”.
Harry also complained of “a smear on the front page” of the Sun, which ran still images of Markle in the television drama Suits appearing on Pornhub, an adult website. It was headlined “Harry girl’s on Pornhub” even though what was posted were clips of intimate scenes from the programme, and not pornography.
The news sparked a torrent of vitriol against Markle on Twitter and other social media platforms as well as in public comments below online news stories
Source: TheGuardian
Kamwaribiaga mwenzake vibaya masikini!HUHh! [emoji15]
Yaani mpaka Police wanamchukia hivi! [emoji28] [emoji23]
Imebidi nishangae na kucheka kwa pamoja jinsi walivyomwacha mtaroni! [emoji3]
Aseeh mwanamke ana roho ya Fisi huyu, sio kwa tamaa hizi. Kuvunja ndoa ya mtu, put yourself at their place so you can be in history books is one thing.
Wanting £250M on top of all that because it didn't work out?!, is a total different thing.
There's special place in Hell for women like Camilla "Balls" Parker! [emoji35]
yani but hii ya malkia kukubali kirahisi rahisi hivi!Ha ha ha! And most likely ndio maana "wamemvumilia"; otherwise, wangewapumzisha wote kama walivyofanya kwa mama yake na hawara yake.
hukusikiaga saga lake la picha zake yuko half naked na vimwana!Sijaelewa kwenye vichupi...vya nani? Nani anavujisha?
mi nakwambia hii familia!hiii!Hahaha, si ndio Snowhite ali suggest huko nyuma, kuwa Harry angewapelekea cheusi mangara kabsa! [emoji1]
Sipati picha hilo zagazaga lingekuwaje, angepotezwa au Harry wangem disown kabisa...lol!
SEEEEE! ahahahahhahaa yani huyu!Eh eh harry Mnyamwezi kitamboo
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
damu nyeusi yenyewe iko mbali sana ova tegeta nyuki na mbagala kilunguleNaona Harry anaweka History nyingine ya kuoa commoner lakini Meghan ni to the core.
Manake ni Mmarekani, divorcee halafu ana damu nyeusi.
Royal family wamepatikana haswaa! [emoji3]
kuna hiyo habari kuwa hakuwa motto wa Charles!Huyu dogo hafanani na kakake kabisa naona kama mturuki fulani hapa mama alichepuka
Ukute kaishachukua vinasaba kwa Charles kisirisiri na James Hewitt?!!!kuna hiyo habari kuwa hakuwa motto wa Charles!
na yye ni kama anajua vile!
SIKU TUSISHANGAE AKAFUNGUKA!
hahahahahhaha James aliwahenyesha hawa!Ukute kaishachukua vinasaba kwa Charles kisirisiri na James Hewitt?!!!
Haiko mbali ktk ufalme, kiasili koo za kifalme huwa wanaooana wenyewe toka kwa noble class wenzao, kufikia kwa mixed race, hili si jambo dogo kabisa.damu nyeusi yenyewe iko mbali sana ova tegeta nyuki na mbagala kilungule
James yupo japo kajizeekea..... Ila kafanana na harry kopiraiti[emoji23] [emoji23] [emoji23]hahahahahhaha James aliwahenyesha hawa!
hivi yupogu!
Di nae ahahhahahhahaa MI NAKWAMBIA SI AJABU KASHAJUA SIO UKOO WAKE NDO MANA ANAPAMANISHA TU!WAPATE NEUROSIS BASI!