Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

HAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAPO KWENYE UMAREKANI kuubadili kuufanya uwe okey kwenye medieval

AH WE UNAIJUA HII FAMILIA!
NAINJOIIII!

Eti medieval tena, haha wewe!
Kama kuna ukweli lakini [emoji1]
Na Wamarekani wanavyojiona the coolest people in the Universe, leo ukawapelekee habari za kumpigia mtu goti! [emoji38]
 
Di alikuwa used sana na hii familia!
tu ili mfalme aoe bikra!
haijalishi ataishi nae vipi limfalme lenyewe bayaaaaaa !(MI BADO NAAMINAGA MAPRINCE WANAKUWAGA THE MOST HANDSOME )
ahahahahhhaha hadithi za Cinderella zishaniharibu!
SAS ALI PRINCE LENYEWE BAYA!
PILI HALINA MAPENZI!
TATU LINA LIMCHEPUKO LAKE HUKO NALO BAYA KAMA MAKUMBI LA NAZI!
LIMEKOMAAA!NALO LINAMPANGIA MPAK SIKU YA KUTUNGA MIMBA ZA WANAE!
BADO KUNA JAMIII INAYOKUTIZAMA KILA SIKU
uuuuwih na walimkuta lakini!
MPK MUDA ANAAMUA KUPINGA HAYO MAISHA NI KAMA WAS WAY TOO LATE!
wakaishia tu kumuua!
BORA ANGEZANZAGA KULA ZAKE BATA MUDA MREFU!

Mweh umenichekesha jamani eti li Prince lenyewe bayaa! [emoji23]

Ni kweli lakini jamani hiyo ndo taswira tuliyonayo toka hadithi za fairy tale, wanaweka picha za handsome Princes, naona Charles amekuwa kinyume kabisa! [emoji1]

Kha, lakini kitendo cha kumwacha Diana kwenda kwa Camilla ni mwisho!!!
Hapo kabisa naona walikuwa wanatimiza tu majukumu kwamba future king aoe bikra tu halafu basi.
Huwezi kumsimamisha Camilla na Diana jamani!
 
ahahahhahahhahaa BROWN WAAT?
wanalo !NA ATAWALETEA MJUKUU MWEUSI KABISA!

Tehe!, hiyo siku Queen atapakata mtoto wa Harry, kitu mixed.
Harry akili chaff yule mtoto, mpaka unaona kana kwamba anamfanyia bibi yake kusudi...lol
 
  • Markle ni mwenye asili mbili baba yake ni mzungu na mama yake ni mwafrika. Wazazi wa Markle Thomas Markle na Doris Ragland waliachana.

  • Markle aliwahi kuolewa kwa kipindi kifupi mwaka 2011 na mzalishaji filamu Trevor Engelson, lakini wakaachana baada ya miaka miwili.
  • Diana and Prince Charles separated in 1992, divorcing four years later.

  • Hewitt reportedly tried to sell 64 love letters from Lady Di, disclosing intimate details of their tryst, for £10million, according to the Daily Mail.
  • James Hewitt has always denied he is Prince Harry's biological father despite having an affair with his mother
A 2003 DNA test reportedly carried out by the News of The World showed Harry and Hewitt are not related
 
Tehe!, hiyo siku Queen atapakata mtoto wa Harry, kitu mixed.
Harry akili chaff yule mtoto, mpaka unaona kana kwamba anamfanyia bibi yake kusudi...lol
SIO MPKA UNAONA!HUO NDO UKWELI!
anawalazimisha wapay off!
 
Wazungu koko wanafiki sana.

Wanataka huko Africa wafanyane kwa style ya Obama na David Cameron ila watoto wao wanawaozesha Adam na Hawa!!
umeona mbali sana sema kuna watu wanajua wazungu ndio mashoga kibao kumbe hawajui wanazungukwa wao hawapo hivyo kabisa tatizo watu hawafuatilii mambo ndio maana mishoga mingi africa ipo na mashariki ya kati chunguza
 
chokodari ,
Mkuu, ndiyo hivyo.
Dunia imeletewa matatizo sana na hawa wazungu koko.
Yaani, wanachokifanya chote ni kutaka kusababisha madhara kwa jamii zingine.

Tunahitaji kujitathimini kama jamii za kiafrika kwa ujumla.
Ili tuweze kuushinda huu unafiki wa wazungu koko.
 
Kwaio prince hurry ni mtoto wa Di? Kwani princess Diana aliacha watoto wangapi? Kuna mmoja alioaga juzjuz alikuwa nani yule?
 
Aliacha watoto wawili, William na Harry. William ambae ndiye mfalme ajae ameshaoa na ana watoto watatu sasa

Asante mkuu,vipi kuna uwezekano huyu prince Hurry nae baadae akaja kua Mfalme kweli?Hv kwa mfano prince William ikitokea ashindwe kuendelea kua mfalme huo ufalme atapewa mtoto Wa prince William au atapewa mdogo wake Prince Harry?je ufalme hua unaenda Kwa watoto Wa kwanza tu au?
 
Unakwenda kwa mtoto wa kwanza. Prince Harry kuwa mfalme labda itokee ajali itakayowaua William na watoto wake. Au William akatae na watoto wake bado wadogo Harry anaweza kuapishwa
 
Uwezekano wa Harry kuwa Mfamle ni mdogo sana au haupo kabisa maana wapo Charles, Wiliiam na watoto wake wawili wa kiume pamoja halafu Harry ni wa tano katika utaratibu wa kuwa mfalme au malikia.

Ndiyo maana wanasema "Harry has gone down to fifth place to the heir of the throne".

Harry alikuwa ni wa tatu baada ya Charles na William.

Alipozaliwa George mtoto wa kwanza wa William, Harry akashuka na kuwa wa nne na sasa amezaliwa Louis mtoto wa pili wa kiume wa William, basi Harry ameshuka na kuwa wa tano.
 
Unakwenda kwa mtoto wa kwanza. Prince Harry kuwa mfalme labda itokee ajali itakayowaua William na watoto wake. Au William akatae na watoto wake bado wadogo Harry anaweza kuapishwa

Uko sawa kabisa.

Kwenye duru za kifalme watoto wa pili huitwa "spare to heir" yaani wapo endapo litatokea jambo kama kifo au kesi ngumu.

Baba yake Malkia Elizabeth George wa VI, hakupaswa kuwa mfamle alipotawazwa kuwa mfalme na ilikuwa baada ya kaka yake alieitwa Edward wa VIII kuamua kwenda kuoa mwanamke alieachika halafu mmarekani alieitwa Wallis Simpson mwaka 1936.

Na yeye George VI baba alieitwa George wa V alitwaa kiti cha ufalme baada ya kaka yake alieitwa Albert Victor kuugua ugonjwa wa mafua mwaka 1892.
 
Uko sawa kabisa.

Kwenye duru za kifalme watoto wa pili huitwa "spare to heir" yaani wapo endapo litatokea jambo kama kifo au kesi ngumu.

Baba yake Malkia Elizabeth George wa VI, hakupaswa kuwa mfamle alipotawazwa kuwa mfalme na ilikuwa baada ya kaka yake alieitwa Edward wa VIII kuamua kwenda kuoa mwanamke alieachika halafu mmarekani alieitwa Wallis Simpson mwaka 1936.

Na yeye George VI baba alieitwa George wa V alitwaa k iti cha ufalme baada ya kaka yake alieitwa Abert Victor kuugua ugonjwa wa mafua mwaka 1892.
George V baba wa malkia Elizabeth alikuwa kwa cancer ya mapafu. Kipindi cha WWII alikuwa na stress sana, alivuta hata 30-40 kwa siku. Mke wake alilia sana msibani akisema wamemuua mume wake kwa kumpa ufalme.
 
George V baba wa malkia Elizabeth alikuwa kwa cancer ya mapafu. Kipindi cha WWII alikuwa na stress sana, alivuta hata 30-40 kwa siku. Mke wake alikua sana msibani akisema wamemuua mume wake kwa kumpa ufalme.
Naomba nikurekebishe kidogo hapo George wa V alikuwa ni babu yake Elizabeth.

Baba yake Elizabeth ambae ndiye George VI alifariki wakati Elizabeth akiwa Kenya na baada ya taarifa za kifo, akapandishwa ndege haraka kurudi London.
 
Naomba nikurekebishe kidogo hapo George wa V alikuwa ni babu yake Elizabeth.

Baba yake Elizabeth ambae ndiye George VI alifariki wakati Elizabeth akiwa Kenya na akapandishwa ndege haraka kurudi London.
Thanks
 
Back
Top Bottom