Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Baba alisema hawezi kwenda kwenye harusi eti Jumamosi anafanyiwa operation.Umesikia eti kuna family drama kwa kina Meghan mpaka Queen ameanza kuboreka kabla ya harusi ya Jumamosi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba alisema hawezi kwenda kwenye harusi eti Jumamosi anafanyiwa operation.Umesikia eti kuna family drama kwa kina Meghan mpaka Queen ameanza kuboreka kabla ya harusi ya Jumamosi..
Nimeshangaa sana ila yaonekana kama kuna mkwaruzano hivi wa hii family!Baba alisema hawezi kwenda kwenye harusi eti Jumamosi anafanyiwa operation.
Baba alisema hawezi kwenda kwenye harusi eti Jumamosi anafanyiwa operation.
Class you are born with it, no amount of money can buy it 😀Kha!, sasa nani atamtembeza bi harusi down the Isle?!, no wonder wamemuudhi queen..
Class you are born with it, no amount of money can bu it 😀
UTARATIBU uliopo kwa sasa hata binti ATAKUWA queen hivyo basi kabla ya Harry kuna Charles, William, George, Charlotte, na Luis hivyo Harry ni 6 sasa. Chances are now slim.Uwezekano wa Harry kuwa Mfamle ni mdogo sana au haupo kabisa maana wapo Charles, Wiliiam na watoto wake wawili wa kiume pamoja halafu Harry ni wa tano katika utaratibu wa kuwa mfalme au malikia.
Ndiyo maana wanasema "Harry has gone down to fifth place to the heir of the throne".
Harry alikuwa ni wa tatu baada ya Charles na William.
Alipozaliwa George mtoto wa kwanza wa William, Harry akashuka na kuwa wa nne na sasa amezaliwa Louis mtoto wa pili wa kiume wa William, basi Harry ameshuka na kuwa wa tano.
Huuu Uzi bado uko active?[emoji15] [emoji15]Umesikia eti kuna family drama kwa kina Meghan mpaka Queen ameanza kuboreka kabla ya harusi ya Jumamosi..
Gloria hakuna namnaKha!, sasa nani atamtembeza bi harusi down the Isle?!, no wonder wamemuudhi queen..
Huuu Uzi bado uko active?[emoji15] [emoji15]
Gloria hakuna namna
Kwa
UTARATIBU uliopo kwa sasa hata binti ATAKUWA queen hivyo basi kabla ya Harry kuna Charles, William, George, Charlotte, na Luis hivyo Harry ni 6 sasa. Chances are now slim.
Mkuu, elewa nilichoandika maana kina uhakika wa asilimia 100.
Harry ni mtu wa tano kufuatia kofia ya ufalme.
Charlotte nafasi yake imechukuliwa na Louis hivyi kumshusha Charlotte kuwa baada ya Harry.
Charlotte hawezi kumpita Harry kwenye hicho kiti ndivyo mahesabu ya kukifuata kiti hicho yalivyo.
Ni utaratibu tu lakini inajulikana Mfalme ajae na anaeandaliwa ni William.
Queen Elizabeth II amekuwa malkia kwasababu hakuzaliwa na kaka. Kama Princess Margaret angekuwa wakiume Elizabeth angerukwa. Sheria ilibadilika 2013 siku hizi the first born whether is a girl or a boy becomes a hare to the throneHivi kwenye huo mstari wanaosubiri wanaangalia na gender pia?!, kwamba Charlotte anapitwa na mdogo wake wa kiume, na anapitwa na uncle wake Harry, kwa sababu yeye ni wa kike?!
haha hah! basi ife ni kirerenya loli vaitaKivipi mkuu au unamuonea wivu mwanamfalme
Queen Elizabeth II amekuwa malkia kwasababu hakuzaliwa na kaka. Kama Princess Margaret angekuwa wakiume Elizabeth angerukwa. Sheria ilibadilika 2013 siku hizi the first born whether is a girl or a boy becomes a hare to the throne
Mkuu, elewa nilichoandika maana kina uhakika wa asilimia 100.
Harry ni mtu wa tano kufuatia kofia ya ufalme.
Charlotte nafasi yake imechukuliwa na Louis hivyi kumshusha Charlotte kuwa baada ya Harry.
Charlotte hawezi kumpita Harry kwenye hicho kiti ndivyo mahesabu ya kukifuata kiti hicho yalivyo.
Ni utaratibu tu lakini inajulikana Mfalme ajae na anaeandaliwa ni William.
Hii ndio current line of succession....source: Wikipedia
Queen Elizabeth II (born 1926)
- (1) Charles, Prince of Wales (b. 1948) B D W
- (2) Prince William, Duke of Cambridge (b. 1982) B D W
- (3) Prince George of Cambridge (b. 2013) B D W
- (4) Princess Charlotte of Cambridge (b. 2015) B D W
- (5) Prince Louis of Cambridge (b. 2018) B D
- (6) Prince Henry of Wales (Prince Harry) (b. 1984) B D W
- (7) Prince Andrew, Duke of York (b. 1960) B D W
- (8) Princess Beatrice of York (b. 1988) B D W
- (9) Princess Eugenie of York (b. 1990) B D W
- (10) Prince Edward, Earl of Wessex (b. 1964) B D W
- (11) James, Viscount Severn (b. 2007) B D W
- (12) Lady Louise Windsor (b. 2003) B D W
- (13) Anne, Princess Royal (b. 1950) B D W
- (14) Peter Phillips (b. 1977) B D W
- (15) Savannah Phillips (b. 2010) B D W
- (16) Isla Phillips (b. 2012) B D W
- (17) Zara Tindall (née Phillips; b. 1981) B D W
- (18) Mia Tindall (b. 2014) D W
Looks like Harry likes wild stuffNaona Harry anaweka History nyingine ya kuoa commoner lakini Meghan ni to the core.
Manake ni Mmarekani, divorcee halafu ana damu nyeusi.
Royal family wamepatikana haswaa! [emoji3]