Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Kwa
Uwezekano wa Harry kuwa Mfamle ni mdogo sana au haupo kabisa maana wapo Charles, Wiliiam na watoto wake wawili wa kiume pamoja halafu Harry ni wa tano katika utaratibu wa kuwa mfalme au malikia.

Ndiyo maana wanasema "Harry has gone down to fifth place to the heir of the throne".

Harry alikuwa ni wa tatu baada ya Charles na William.

Alipozaliwa George mtoto wa kwanza wa William, Harry akashuka na kuwa wa nne na sasa amezaliwa Louis mtoto wa pili wa kiume wa William, basi Harry ameshuka na kuwa wa tano.
UTARATIBU uliopo kwa sasa hata binti ATAKUWA queen hivyo basi kabla ya Harry kuna Charles, William, George, Charlotte, na Luis hivyo Harry ni 6 sasa. Chances are now slim.
 
Mkuu, elewa nilichoandika maana kina uhakika wa asilimia 100.

Harry ni mtu wa tano kufuatia kofia ya ufalme.

Charlotte nafasi yake imechukuliwa na Louis hivyi kumshusha Charlotte kuwa baada ya Harry.

Charlotte hawezi kumpita Harry kwenye hicho kiti ndivyo mahesabu ya kukifuata kiti hicho yalivyo.

Ni utaratibu tu lakini inajulikana Mfalme ajae na anaeandaliwa ni William.
 
Hivi kwenye huo mstari wanaosubiri wanaangalia na gender pia?!, kwamba Charlotte anapitwa na mdogo wake wa kiume, na anapitwa na uncle wake Harry, kwa sababu yeye ni wa kike?!
 
Queen Elizabeth II amekuwa malkia kwasababu hakuzaliwa na kaka. Kama Princess Margaret angekuwa wakiume Elizabeth angerukwa. Sheria ilibadilika 2013 siku hizi the first born whether is a girl or a boy becomes a hare to the throne
 
Mkuu, elewa nilichoandika maana kina uhakika wa asilimia 100.

Harry ni mtu wa tano kufuatia kofia ya ufalme.

Charlotte nafasi yake imechukuliwa na Louis hivyi kumshusha Charlotte kuwa baada ya Harry.

Charlotte hawezi kumpita Harry kwenye hicho kiti ndivyo mahesabu ya kukifuata kiti hicho yalivyo.

Ni utaratibu tu lakini inajulikana Mfalme ajae na anaeandaliwa ni William.

Hii ndio current line of succession....source: Wikipedia
 
Ahsante kwa kunirekebisha na uko sawa kwa asilimia 100.

Chanzo nilichokuwa naangalia kilikuwa ni kabla ya ujio wa mwanamfalme mtoto Louis wa Cambridge.
 
Naona Harry anaweka History nyingine ya kuoa commoner lakini Meghan ni to the core.
Manake ni Mmarekani, divorcee halafu ana damu nyeusi.
Royal family wamepatikana haswaa! [emoji3]
Looks like Harry likes wild stuff
 
Back
Top Bottom