Chalz anayawezaga aseee!
Mareject wote huwaga anajifanyaga baba kwenye harusi zao![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nampendaga sana Charles seems disminder flani hivi amazing!
Wee anawarukaga mademu wote kasoro rihanna ndo anakiri!Sijawahi sikia amekiri japo mhuni sana yule baba
Nani akaribishe " attention seeker? Unaijua Buckingham au unaisikia?
Charles ndo zake kuokota rejected na kuwa baba kwenye harusi...hebu fatiliaga!
Yes dear...switz beat alikuwa Mme wa ndoa wa Mashonda...Alicia akamkwapua sasa full kulihonga lile limarioo malipo hapa hapaKumbee!Alicia ndo amezaa na switzbeat?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kiboko yake BeyJamani Kim hajaalikwa atakuwa kajisikia vibayaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anavyojionaga keki
Kim Kardashian hajaalikwa na kanye?
Yuko cool sana!...hakanaga makuu
Diana angekuwepo sijui ingekuwaje RIP
Waswahili mnoo asee...Mimi nimeshangaa au ndo mambo ya ukewenza?Upande wa bibi harusi aliehudhuria ni Mama tu. Familia yao imejaa maneno.
Naangalia hapa home..CNN wamejitahidi Leo!Harry yupo simple muongeaji hadi kanisani
Ka harusi katamu kuangalia
TrueI heard ring the alarm ni kijembe kwa Beyo ni kweli?!!
Harry haaachagi K kizembe hivyo, alimlaaaaHivi Harry alimla rihanna au were jus friends?
Niliona alikubali kuwa alikuwa anachepuka huku yupo na bey ,lakin bey mzuri nae kishepuko chake mashaallahWee anawarukaga mademu wote kasoro rihanna ndo anakiri!
Jay anampenda sana riri, ukitaka kuona furaha ya jay z awepo rihanna round full raha hata kama Bey yupo...
Hahaahah bado hawapatani eti[emoji23] [emoji23] [emoji23] kiboko yake Bey
Aliacha wawili tu,,,Kwaio prince hurry ni mtoto wa Di? Kwani princess Diana aliacha watoto wangapi? Kuna mmoja alioaga juzjuz alikuwa nani yule?
SanaaAendelee kuimba kwaya tu huko panamfaa
Lakin si atakuwa na vihela si ni djYes dear...switz beat alikuwa Mme wa ndoa wa Mashonda...Alicia akamkwapua sasa full kulihonga lile limarioo malipo hapa hapa
Maskini na huyo Mashonda wana watoto wengi tuu!