Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Wangehakikisha kila mtu anawaona

Ila becks ana bahat na hizi royal marriages may be ipo siku mwanae mmoja ataoa au wa kike kuolewa hapo
Nani akaribishe " attention seeker? Unaijua Buckingham au unaisikia?
 
Upande wa bibi harusi aliehudhuria ni Mama tu. Familia yao imejaa maneno.
Waswahili mnoo asee...Mimi nimeshangaa au ndo mambo ya ukewenza?

Meghan kwa baba si ana kaka zake na dada zake , sema ndo hawapendani kabisa, nilimsikia dada mtu akisema Meghan alikuwa anamtesa baba yao, nikajiuliza how, why, and where nikakosa jibu!
 
Wee anawarukaga mademu wote kasoro rihanna ndo anakiri!

Jay anampenda sana riri, ukitaka kuona furaha ya jay z awepo rihanna round full raha hata kama Bey yupo...
Niliona alikubali kuwa alikuwa anachepuka huku yupo na bey ,lakin bey mzuri nae kishepuko chake mashaallah
 
Back
Top Bottom