Kama mzuri mbona Mme wake full kutembeza kiboro chake?Niliona alikubali kuwa alikuwa anachepuka huku yupo na bey ,lakin bey mzuri nae kishepuko chake mashaallah
Hazipandi na hazitapanda mileleHahaahah bado hawapatani eti
Once you go black, you'll never go back! [emoji28]Nasikia Harry alikuwa amelewa akawapa mchapo washikaji kuwa Meghan ana papuchi tamu balaa![emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Unaeza kuwa una hela but unapenda kuhongwa?Lakin si atakuwa na vihela si ni dj
Weusi wa kutosha tu kwenye Royal Wedding, mpaka kwenye choir hadi raha! 🙂
Waone kwanza! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Beyonce atakuwa kabila la faraja nyarandu hawaachikagi wale [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila Kim alitaka awepo pale, yule mmh!Ahahahahahah wity
Nanukute aliandaa kabisa gauni,najua roho itakuwa imemuuma sanaaaIla Kim alitaka awepo pale, yule mmh!
Yaaap...huyo Rev. kibokoooNow vows time
E wameanza, ngoja ni turn!Naangalia channel E
E wameanza, ngoja ni turn!
Nilihisi kitu kama hichoJinsi kiba alivyomuwah asiseme ikawaje wakaonana na kuoana picha inakuja baada ya kuonana kwenye ndege amina akaenda omba kuunganishwa nae so mwanamke katongoza
Aaaah wewe utakua unaishi nao haki ya MunguThubutuuuu!....William ni kicheche hatari ngoja nikitulia ntakurushia mademu zake uchoke!
Tena Will anakula papuchi Harry chekekechea kabisa,
Huyo Kate mwenyewe alikuwa amebwagwaa her majesty akamrudisha!
Huyo William kumuoa Kate sio kwa mapenzi yake, ana demu wake anaitwa Jecca anaishi Kenya ndo mpango mzima!
Na hadi sasa hivi anakujaga kisirisiri wanamegana, juzi Kate kashtukia mchezo na kamaindi balaa...
Yes mkuu...there u are!Hii ndo ya leoView attachment 781244