Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,467
- 13,026
Nenda google search uone Charles kasimamia harusi ngapi then utanambia!
Ndo zake hizoo
Yeah ni kweli, walisema hii sio mara ya kwanza anam walk mtu down the Isle
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda google search uone Charles kasimamia harusi ngapi then utanambia!
Ndo zake hizoo
Precisely...Once you go black, you'll never go back! [emoji28]
Nilihisi kitu kama hicho
Coz niliona Musa anamuuliza hilo swali, nani alianza kutongoza mwenzake!
Kiba akamuwahi asiseme!
Hivi bidada mbona anajibebisha, mjanja yule!
Jus simple make up...katoka chicha balaa
Diana na Charles walikiss mbona, hawa vepee?Zamaan tangu inaanza mpaka saiv ila sijaona maharusi waki kiss kanisani,huku bongo huwa tunaiga wapi wajaman
Acha kunizingua[emoji23] [emoji23] [emoji23]Aaaah wewe utakua unaishi nao haki ya Mungu
Nimependa watu weusi wamepewa chance sana. Kwenye kwaya mahubiri wakati miaka ya nyuma haikuwa hivyoYaani wazungu wamekuwa na wakati mgumu sana kwa kweli.
Twaendelea kubanana hapahapa kwenye eneo la tukio.
Diana na Charles walikiss mbona, hawa vepee?
HaaaahaaaaaaDuuuh wazungu wana raha haya machombo ya kwaya na kusindikizia nyimbo kwetu hamna bali maspika makuubwa likishtuliwa ghafla moyo unaruka sarakasi za ajabu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
![]()
Now you are husband and wife.
![]()
Look at that!
Harry in deep thoughts and Meghan as a cool cat.
Nimependa watu weusi wamepewa chance sana. Kwenye kwaya mahubiri wakati miaka ya nyuma haikuwa hivyo
She's official, a Royal that is..
Her life will never be the same again.
Suti kama hizi bongo zipo??Hii ndo ya leoView attachment 781244
Hela ako tuu mkuu...Bongo kunakosekana kitu?Suti kama hizi bongo zipo??
Guess demu angekua African born ingekuajeKiukweli watu weusi wanachukulia hili tukio kwa maana kubwa sana, kubwa sana.
Hii ndoa ina tafsiri nyingi sana na inatoa picha halisi ya mtu mweusi na mtu mweupe.