Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Mjanja na atakua kamsoma kiba vizuri wataendana tu maana nje tunamuona na nguo zake ndeefu tunaishia sifia hatujui behind the scene kuna ubuyu gani
Nilihisi kitu kama hicho

Coz niliona Musa anamuuliza hilo swali, nani alianza kutongoza mwenzake!

Kiba akamuwahi asiseme!

Hivi bidada mbona anajibebisha, mjanja yule!
 
Duuuh wazungu wana raha haya machombo ya kwaya na kusindikizia nyimbo kwetu hamna bali maspika makuubwa likishtuliwa ghafla moyo unaruka sarakasi za ajabu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haaaahaaaaaa
 
Wakuu , shughuli ya kanisani imeisha sasa ni wakati wa kujiandaa na hafla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…