Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Mpenzii ahahahhahaja jamaniii nishazoea ubuyu wa kina zariBinamu unanidhalilisha tafadhali
Camilla mama wa kufikia wa kina HarryCamilla ni nani jamani,ni wa humo kwenye ufalme
Ahaaa ilikuwa ni aibu kwao eee jamani walimuonea sanaAlitaka kuolewa na mwarabu wa Misri but makazi England, plus alikuwa na ujauzito wake, wakammaliza!
Prince Harry kutoka Royal Family kaoa mwanamke ambae alishaolewaga inamaana si Bikra, sasa wewe endelea kutafuta Bikra wa kuoa.
Anza kuwafatilia mdogo mdogo utawaelewa tu...Yaan jamani hawa watu wananichanganya ila nimeanza kuelewaa
Jamani wamemfanyia vibayaaIle familia ya Meghan kama ya tandale kwa kina Domo ...full maigizoo
huyo "" hajatulia toka enzi za ukuaji wake mkuj"" kamsumbua mnoo bimkubwa wake "" jitu la kupenda bata na Watoto Wazuri .drama mwanzo mwisho "" hajatulia hata kidogo""Most likely! Mama yake alivyokuwa mrembo na smart huyu anatia aibu. Katika wanawake wote wa Kiingereza amekosa kabisa mke hadi aende Marekani tena demu kamzidi umri?
Na wala sio maprince na ni hohaheheeee humu tuPrince Harry kutoka Royal Family kaoa mwanamke ambae alishaolewaga inamaana si Bikra, sasa wewe endelea kutafuta Bikra wa kuoa.
Wanamuonea wivuu...upande wa baba ake ni wazungu pure, sasa black kaingia kwenye uroyalJamani wamemfanyia vibayaa
Wakenya nyokooo inawahusu niniIla wakenya jaman kwa fursa hawajambo hadi keki washakata huku wakiangalia harusi ya kifalme
Source citizen tv
Ana usumbufu gani, zaidi walimuulia mamaake akadata?hilo lijamaa lilevi mnooo kwani hamjui "" kwanza halipendi maisha ya kifalme " falme ..alikuwaga msumbufu mnoo enzi za teenager
Ingekuwa bongo angepakwaaa makeup kama upinde wa mvua
Sanaa...she was innocent!Ahaaa ilikuwa ni aibu kwao eee jamani walimuonea sana
Baasi rudi huko,huko waachie wakishua tu!Mpenzii ahahahhahaja jamaniii nishazoea ubuyu wa kina zari
Msinifanyie hivyo jamani msinitengeeBaasi rudi huko,huko waachie wakishua tu!
hao huwa hawashindwi mkuu"" muda simrefu "" majasusi wao wataingia kazini na kumtoa roho huyo M16 sio watu wamchezo mchezoNaona Harry anaweka History nyingine ya kuoa commoner lakini Meghan ni to the core.
Manake ni Mmarekani, divorcee halafu ana damu nyeusi.
Royal family wamepatikana haswaa! [emoji3]
Wakenya nyokooo inawahusu nini
[emoji1] [emoji1] [emoji1] unanidhalilisha sasaMsinifanyie hivyo jamani msinitengee
Kwani ilikuaje Diana akamuacha Charles nini kilitokea,au michepuko kina camilaSanaa...she was innocent!
Kama punishment walitakiwa kuipata wote Diana na Charles!
Hadi rahaNimependa sana make-up yake. So simple!