Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,415
Na kweli! Nakaombea kadumu kwenye ndoa yake iwe ya amani na furaha as usual.Wasikaue tu
She look absolutely innocent and fragile!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kweli! Nakaombea kadumu kwenye ndoa yake iwe ya amani na furaha as usual.Wasikaue tu
Hata mi nataka wamruke, hiyo inamuuma sana Camilla ila kwa Charles hana hata habaree na hata hatakii!Akipewa chale uking ina maana camilla atakua ka malkia kitu ambacho ni shubiri kwa wengi bora wamruke tu
Nashangaa wanaohoji tabia yake!
Charles mtupu!
Jamani mi mpaka nalia mweeeee yaan mtu akaomba talaka akaondoka,kuanza maisha yake hawakutaka kabisa awepo dunia hiii na hiyo yote mipango ya Elizabeth kibibi hiko kitaenda motoniHuyo Charles alikuwa na Camilla na mademu wengine kabla ya Diana!
Ukoo wa kifalme wakamleta Di akiwa bikra kana miaka 19 kakaolewa na huyo Charles, so obvious baada ya kumvunja bikra na kutosheka na papuchi, akaendelea kukulana na Camilla, so Camilla akawa anapambana ili aolewe na Charles, so drama mpaka Di akajua kuwa hapendwi!
Akaomba talaka akasepa, ndo akaanza kutembea na huyo mwarabu tajiri Dodi, ikabidi wammalize!
Real? Mbona liko classy hivo?
Umeona wamekata keki nipo nakufwa mbavuNtazisaka baadae ila za wakenya sodhan kama zitakuwepo
U got it babe!Jamani mi mpaka nalia mweeeee yaan mtu akaomba talaka akaondoka,kuanza maisha yake hawakutaka kabisa awepo dunia hiii na hiyo yote mipango ya Elizabeth kibibi hiko kitaenda motoni
Tena wanajua kuigiza haswaaaintelligence people " huwa hawaonyeshi chuki zao hadharani mkuu"" wanaweza hata kuku kumbatia na kuchangia na wewe Chakula "" kumbe wanapanga kukutoa roho
U nailed tintelligence people " huwa hawaonyeshi chuki zao hadharani mkuu"" wanaweza hata kuku kumbatia na kuchangia na wewe Chakula "" kumbe wanapanga kukutoa roho
Ahahahhaahahahah jamaniAkipewa chale uking ina maana camilla atakua ka malkia kitu ambacho ni shubiri kwa wengi bora wamruke tu
Hata mi nataka wamruke, hiyo inamuuma sana Camilla ila kwa Charles hana hata habaree na hata hatakii!
hao hauwezi kuwa tenganisha na Rothschild ...na hiyo ni moja ya Sera zao "" tatizo ulimwengu haujui jinsi " haya mataifa yenye nguvu yanavyofanya kazi "" katika Sera zao"" waweza kukuta Jamaa sio "gay" lakini kwakuwa anaushswishi duniani ametumika kwaajili ya kampeni za kuifanya dunia Ione kuwa maswala ya ushoga ni issue za kawaidaAaaaaahhh,
Ndiyo. kumbe wanaendelea pande zote namba 0713 na kawaida Duuuh .
Shetani amehamia kwao.
Yaan nami nimo tu nataka kupiga umbea wa kishua nimechoka na mama DiamondHahah!, mama Sabrina anafurahisha jamani! 😀
Good for her lakini, haoni vibaya kuuliza.
hahaaa...bimkubwa hafi ..wala nini "" aisee...Huyu Charles sijui ni yeye au jamaa anaefanana nae niliona movie ya wasouth aliigiza kwa jina hilo hilo itakua inaitwa yankie zulu. Yupo cul tu keshachoka kusubiria ufalme miaka yote mpaka uzeen
Asantee kwa kunieleweshaaU got it babe!
hahaaa...bimkubwa hafi ..wala nini "" aisee...
hatari sana hao watu " waweza kukuta hata marhemu D ...walikuwa wanapiga nae soga vizuri tu " na kumwambia kuwa wana msupport " katika mahusiano yake mapya...kumbe wanajipnga kumtoa kafara"" daaahh yule Dada nilikuwaga nampenda mnoo aisee..."" dahhTena wanajua kuigiza haswaaa
Umeona wamekata keki nipo nakufwa mbavu
Jamani mi mpaka nalia mweeeee yaan mtu akaomba talaka akaondoka,kuanza maisha yake hawakutaka kabisa awepo dunia hiii na hiyo yote mipango ya Elizabeth kibibi hiko kitaenda motoni
hao huwa hawashindwi mkuu"" muda simrefu "" majasusi wao wataingia kazini na kumtoa roho huyo M16 sio watu wamchezo mchezo