Hakuna lolote kibibi kile ni snitch ile mbaya.....Mimi naifuatilia ile familia utafikiri nalipwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi umeona speech aliyotoa kipindi Di kafa?..full kujiliza na masikitiko mengi but behind the scene hata maiti alikuwa amekataa isifatwe Paris na koo ya kifalme mpaka pale Charles alivyomvimbia!....ile speech yenyewe kuitoa ni baada ya kuambiwa na mkusanyiko uliokusanyika Buckingham palace nje kuwa watailipua hiyo kasri why Elizabeth yuko kimya!
Kabibi kanafiki sana kale ....mi nakwambia Meghan ajiandae na ile familia si mchezo!