Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Jamani mi mpaka nalia mweeeee yaan mtu akaomba talaka akaondoka,kuanza maisha yake hawakutaka kabisa awepo dunia hiii na hiyo yote mipango ya Elizabeth kibibi hiko kitaenda motoni
viongozi wa mataifa " yoyote Yale wasahau kuhusu " "pepo " labda kama Mungu " ni Mjomba wao " najua wewe nalendwa huwa unafuatilia siasa za ndani na zakimataifa ..na wajua vyema michezo michafu inayofanywa na Hawa watu " mpaka kufikia hatua ya kumwaga damu za mataifa ya watu " mfano mdogo ni huu mpango wajuzi walioutumia uingereza majuzi kumpa sumu yule jasusi wa urusi na mwanae "" kisha wakawasingizia Russia...ili wawavurugie mpango wao wakuandaa kombe la dunia ...Hawa watu (viongozi)sio watu Wazuri kabisa
 
Hakuna lolote kibibi kile ni snitch ile mbaya.....Mimi naifuatilia ile familia utafikiri nalipwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hivi umeona speech aliyotoa kipindi Di kafa?..full kujiliza na masikitiko mengi but behind the scene hata maiti alikuwa amekataa isifatwe Paris na koo ya kifalme mpaka pale Charles alivyomvimbia!....ile speech yenyewe kuitoa ni baada ya kuambiwa na mkusanyiko uliokusanyika Buckingham palace nje kuwa watailipua hiyo kasri why Elizabeth yuko kimya!

Kabibi kanafiki sana kale ....mi nakwambia Meghan ajiandae na ile familia si mchezo!
hahaaa " kabibi kama kachawi "
 
Ya kwako wewe tangaza tu mtapigia picha wapi kama ni pale kamanga au pale bustan ya kemondo ntakuja kukupiga picha na kuleta humu naunganisha na za zari nione nani zaidi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nipo nawaza yangu jamani sijui ndio nami harusi yangu itakuwa ya wilayani tu hata mikoani haifikii bahati hiziii
 
Ya kwako wewe tangaza tu mtapigia picha wapi kama ni pale kamanga au pale bustan ya kemondo ntakuja kukupiga picha na kuleta humu naunganisha na za zari nione nani zaidi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaan jamani tutaenda kupiga picha plae round about ya samaki au rock beach habari kwishaa jamani
Sasa utaniringanishaje wakati zari hajawah hata funga ndoa ,Numbi niwacheee
 
Back
Top Bottom