Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Camilla ana moyo sana lakini. Ndo kwanza yuko mstari wa mbele, mama mkwe wa Meghan! 🙂
Mwenzio hapo Camilla kala gambe kashiba!

Camilla hawezi face dunia akiwa sober never ever, refer Morton, anakwambia Camilla anapenda ulabu ili kuficha aibu yake!

Waingereza hawamtaki, tunarudi kule kule Charles kwa mareject hajambo[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
T

Diana hakumalizwa kwa sababu hiyo mkuu, di alijua siri nyingi za hii famili na alijiapiza kuzianika kwahiyo ilikumnyamazisha ilibidi itengenezwe skendo coz di alikuwa mtu wa watu sana, ndiyo akatafutwa huyo mwarabu.
Mkuu unataka kuniambia mwarabu dodi katafutwa ili amuoe Di halafu nayy akakubali kujilipua?

Kama ni ishu ya kujua siri nyingi mbona tuna Sarah Ferguson yule mtaliki wa Andrew, mbona katoka kwenye ufalme hakuuliwa?

Diana kauliwa kwa sababu ya kutaka kuolewa na mwarabu + alibeba ujauzito wa Dodi!

Isingekubalika kwa sababu William & Harry wangepata kaka au dada mwarabu, kitu ambacho hakiwezekani kwenye lile kasri!
 
Dili lili chezwa na baba yake dodi mkuu, hilisakata linamambo mengi.
 
Mie nimefika sekondar ndo nayapata haya huko shule ya msingi nilikua busy na tausi,kaole
Haaahaaa...nilikuwa hata sijaanza hata la kwanza! But nilimuona maza angu analengwa na machozi kuuliza naambiwa Di kafa, hata sikuwa naelewa!
 
Sio sababu....wazungu wanafiki mnoo, inaezekana sisi walimwengu tunazugwa na Harry anapotezwa maboya, ili hata siku kapotezwa hakuna hata dalili ya ushahidi or hisia!

Wazungu nyokoo

Halafu naona kama hii harusi yenye damu nyeusi ndani imependeza kuliko hata ya kaka yake! 😀
 
Back
Top Bottom