Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

January meghan alifuta accounts zake zote za mitandaoni
Ilibidi afute na alikuwa ana act series flani marekani ilibidi apewe storyline ya kuondoka ( maana ilibidi aache) ukiwa royal kuna sheria nyingi inabidi uzifate
 
Kumbe Queen ni Mtu ambae haruhusiwi kusafiri na passport wala kubeba I'd yoyote .haruhusiwi kuwa na driving licence na anaweza kuendesha gari bila licence .haruhusiwi kushtakiwa kwa kosa lolote .kwa kweli Ana power. Hao royal wengine wana passport zao maalumu
 
Back
Top Bottom