Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Halafu limbaba libayaaYaani Bey na hela zake zote but she's stuck with him. Haelewi wala hasikii..
Wa milioni 50uko wapi huo uzi?
Kwa kweliiNdo maana hawajaalikwa wengi wangewafunikaa mnoo
Hata simjui.Huyu mama ni nani
Twendeni kule tutarudi huku baadaeUle wa kusepa na 50m
Yamenaswa mazungumzo ya bold na Ontario
SawaWa milioni 50
Twende....rudi nyuma kidogo muone kuanzia kwenye screenshotTwendeni kule tutarudi huku baadae
Huyu mama Sabrina ana shida sana huyu hata kule kwenye forex nahisi hajui kitu sema anapenda soga tuMama Sabrina haelewi mkia uko wapi wala kichwa kiko wapi?
Yeye na Kim kardashian tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Haaaahaaaa... Mkuu kweli?Huyu mama Sabrina ana shida sana huyu hata kule kwenye forex nahisi hajui kitu sema anapenda soga tu
Msomali mshamba huyoo
Haijalishi bwana kuwakosoa lazimaAhahahahahah maskini wakubwaa mnajadili watu wenye pesa zao
[emoji1] [emoji28] [emoji24]Halafu limbaba libayaa
Ahahahahahahahah jamaniNasikia alivaa kitenge ni msukuma
Twende kule kuna mambo yamemwagaa hukooHuyu mama Sabrina ana shida sana huyu hata kule kwenye forex nahisi hajui kitu sema anapenda soga tu
Uwiiii narudiiTwende....rudi nyuma kidogo muone kuanzia kwenye screenshot
Kaongo hakoo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halafu Harry anaonesha ana lihogo hana kibamia!