Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

harry was dianas boy since then!
nahs ana vitu against hii familia kuhusu mamake!
You never know, before his mother's death labda alimtonya Harry kuhusu ule mpango wa kuuliwa!

Maana Diana kabla hajafa aliisambaza hii sumu kwa marafiki zake wote!
 
NAKWAMBIA YULE BIBI itakuwa naapandisha bp kila siku!
MAANA amewaaamulia hasa!
very likely anavujisha mwenyewe picha zake za vichupi!
na hivi anajua hatakuwa mfalme!
hata kakake akifa!
ANA NINI CHA KUPOTEZA!
anawapelekesha tu!
Sijaelewa kwenye vichupi...vya nani? Nani anavujisha?
 
Nilisoma mahali kuwa Diana akitoka kwenye aristocrast family na katika historia babuvyake alimsaidia King katika vita in medieval era. Kujua hilo aliapa hata piga magoti kwa royal family.

Hiki kiburi ndiyo kilisababisha matatizo makubwa.
But hata Meghan anatokea katika noble family ukiangalia historia ya babu zake kwa upande wa baba... Soma hi

"Research compiled in 1997 by historians including Markle's great-uncle, Mike Markle,revealed that her paternal great-great-great-grandmother was New Hampshire landowner Mary Hussey Smith (1823–1908),a descendant of nobleman John Hussey, 1st Baron Hussey of Sleaford, who was beheaded in 1537 at the order of King Henry VIII. Through Lord Hussey, Markle is a descendant of King John.Markle is also a descendant of Captain Christopher Hussey, Esquire (d.1686) who was appointed in 1679 by King Charles II to govern the Royal Province of Hampton, New Hampshire. He was a Founding Father of Nantucket.

Markle is a distant relation of Prince Harry. Their common ancestors are Elizabeth Bowes (1505–c.1572) and her husband, Richard Bowes, son of Sir Ralph Bowes of Streatlam Castle and High Sheriff of County Durham—ancestors of Queen Elizabeth The Queen Mother (née Elizabeth Bowes-Lyon).

Markle's maternal great-great-great-grandfather was a slave on Georgia plantations before being emancipated with the abolition of slavery in 1865.[
 

Hii familia si mchezo kwa drama zake, wanazidi hata familia za kawaida na wana qualify kabisa kufanya reality show...lol




Mboga saba toto la mama! [emoji28]

Hivi Queen hakuzua kizaza kwenye habari za Charles kupasishwa U King?
Manake alivyo mama's boy nahisi mama yake asingekubali.
 
ni kama anaiadhibu royal family!
hata sishangai kuwaletea chotara!
nilijua ataoa black kabisa bibi mtu kichaa kimpande!

Hahah!, jamani angewapelekea mweusi 100% kukawa na ngozi nyeusi ndani ya Buckingham Palace, bibi wa watu mbona angekufa kwa pressure kabla ya siku zake? [emoji3]
 
ANTAKUWA AMEJIFUNZA AU KAAMUA TU KUJIHAMI!
as anajua kichaa cha huyu dogo !


Anawapaje presha humo ndani?

Queen full kudata na anamuogopa Harry mbaya manake akiamua kuwafyatukia jinsi walivyomuua mamake , wote vichwa chini wanaogopa yasifike Dailmail[emoji23] [emoji23]

Halafu hata huwa hajali yaani ni msela kupitiliza


Wakati wa msiba wa Daina vile walivyokuwa wanatembea nyuma wanasindikiza jeneza Charles, watoto wake na Spencer uncle wao, I think ni tradition lakini inasemwa kuwa dogo Harry alitaka ku boycott maana issue ya kifo cha mama yake ilikuwa nzito.
Ikabidi uncle wao Spencer aseme kusindikiza ili atembee nae ndio dogo akakubali.
Harry kizaazaa haswa!
 
Queen kaumia mnoo...

Yaaan Malkia kwa Charles humwambii kitu! First born tena ( japo kimeo[emoji23] [emoji23] )

Sema kuwa mfalme kusema ukweli Chalz hauwezi hata tone, sema libibi Camilla full kumpelekesha, bibi anautaka umalikia kwa nguvu zote, na bifu na huyo Catherine anaona wanamzibia tuu!
 
Hahah!, jamani angewapelekea mweusi 100% kukawa na ngozi nyeusi ndani ya Buckingham Palace, bibi wa watu mbona angekufa kwa pressure kabla ya siku zake? [emoji3]
Wee unamaanisha cheusi mangara?....haaa haaa yaani ni ile kitendo cha Harry kuonekana na black pure huyo demu angepotezwa mazima! Hata maiti isingeonekana

Hawa akina Charles, William na Harry wana mademu mablack wanatembea nao sema ndo ile kuwekwa kwenye buti la gari[emoji23] [emoji23]
 
Maskini.. Harry hata kwenye zile clip za msiba aliumia kuliko mtu yeyote pale!
 

Mh!, Camilla kugandana hivyo na Charles mpaka kuvunja ndoa usikute hii ni sababu alitaka.
Kuja kuwa future Queen na kuwepo kwenye history.
 
Mh!, Camilla kugandana hivyo na Charles mpaka kuvunja ndoa usikute hii ni sababu alitaka.
Kuja kuwa future Queen na kuwepo kwenye history.
Moyo wa binadamu ni kichaka, mtoto wake wa kiume alikuwa kwenye live tv show aksema hata step father wangu anapenda hii. Mmh ujiko gani huo.
 

Hahaha, si ndio Snowhite ali suggest huko nyuma, kuwa Harry angewapelekea cheusi mangara kabsa! [emoji1]

Sipati picha hilo zagazaga lingekuwaje, angepotezwa au Harry wangem disown kabisa...lol!
 
Moyo wa binadamu ni kichaka, mtoto wake wa kiume alikuwa kwenye live tv show aksema hata step father wangu anapenda hii. Mmh ujiko gani huo.

Khaa!, Hahah!
Hawa watu Mungu Anawaona.
 
Mh!, Camilla kugandana hivyo na Charles mpaka kuvunja ndoa usikute hii ni sababu alitaka.
Kuja kuwa future Queen na kuwepo kwenye history.
Si unajua akili zetu sisi wanawake!

Camilla inamuuma hii kunyimwa umalkia, rumours kitaa ni anataka talaka kwa nguvu zote, ili atleast aambulie £250M
 
Si unajua akili zetu sisi wanawake!

Camilla inamuuma hii kunyimwa umalkia, rumours kitaa ni anataka talaka kwa nguvu zote, ili atleast aambulie £250M


...the Hell!!!!

Jamani huyu mwanamke, Khaa!
Yaani haikutosha kuvunja ndoa ya mwenzake?
 
Sio wazungu tu; hata mimi wa Mchambawima sijaipenda kabisa ndio maana nikauliza amekosa kabisa demu "bora" wa Kiingereza hadi akaokote masanii ya kimarekani tena machotara?
Kwani wewe ni nani ktk race Mkuu? Wa ajabu sana, sorry. Kuna speech inaitwa "for the woman I love" Kuhusu divorce itakufundisha kitu, ila kama ni wa race ya kiafrika, hudhani Huu ni ushindi na uthibitisho wa uwepo wa nguvu zilizomzidi Mwanadamu humu duniani?

Hujui why Princess Diana alikufa? Yule ni mwarabu tu, ambaye kwao naye hujiona ni spesho race,,,, vipi kumuhusu aliyechanganya na damu ya wale walioitwa "watumwa"? Mi kuna kitu hapa najifunza sanaa.
 
...the Hell!!!!

Jamani huyu mwanamke, Khaa!
Yaani haikutosha kuvunja ndoa ya mwenzake?
"Rottweiler" anataka vyote!

Ila Camilla pamoja na kuivunja ndoa ya Di, kaipataga fresh hata kama anazeeka...

Kuna siku kaenda supermarket moja hapo Liverpool waingereza walimzomea na kumrushia vichupa tupu vya maji, yaani ni anachukiwa huyo vibaya vibaya!

Siku nyingine tena akiwa bwaksi bin tungii kadondoka mtaroni na Jeep usiku wa manane tena pekea ake, sasa ile mapolisi wanaenda kuangalia ni raia gani kadumbukia mtaroni, wakakuta ni Camilla wee kwani walimtoa?

Mpaka alipopiga simu kuomba msaada!

Waingereza walimwapia hawatamsamehe kamwe!
 
Hahah!, jamani angewapelekea mweusi 100% kukawa na ngozi nyeusi ndani ya Buckingham Palace, bibi wa watu mbona angekufa kwa pressure kabla ya siku zake? [emoji3]
Time is a good judge, nadhani ipo siku tu itafika, tena black pure toka Tandale, sema kuonana tu ndo iwe shida. Lilianza na King Edward III, mapenzi hayana formula. Ila pia tunajifunza kwamba, binadamu sote ni sawa. Tuachane na mipropaganda yao, eti IQ sijui mi nini, wakati wengine kwa upendo wao walisumbuliwa na kuzibiwa mengi.

Inawezekana kabisa, malkia wa Uingereza au mfalme akaja tokea akawa ni black mtanzania, God is one, different colour,one people.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…