witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Yes haa haaa fairy tale stories.....ila Diana maskini hakuwa na bahati na mapenzi huyo Dodi mwenyewe alikuwa anamrekodi mipono halafu alikuwa cocaine addicted....siku Diana angejifanya kumfumania huyo playboy angekiona cha moto!Sad!, they mis treated her when she was alive, sasa mpaka kifo?
Halafu ingawa alitoka kwenye royal family pia but she was so different from them kitabia.
Na kutoka na Dodi Fayed I think she was just looking for love, ambayo hakuipata from the royal family.
She sure met her Prince.
Hii imenikumbusha zile Fairy Tale stories, which has come to life. [emoji3]
Mmmmh....ila ile familia ina mambo mapana!