Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Sad!, they mis treated her when she was alive, sasa mpaka kifo?
Halafu ingawa alitoka kwenye royal family pia but she was so different from them kitabia.
Na kutoka na Dodi Fayed I think she was just looking for love, ambayo hakuipata from the royal family.

She sure met her Prince.
Hii imenikumbusha zile Fairy Tale stories, which has come to life. [emoji3]
Yes haa haaa fairy tale stories.....ila Diana maskini hakuwa na bahati na mapenzi huyo Dodi mwenyewe alikuwa anamrekodi mipono halafu alikuwa cocaine addicted....siku Diana angejifanya kumfumania huyo playboy angekiona cha moto!

Mmmmh....ila ile familia ina mambo mapana!
 
She was super nice!

Sasa huyu Charles nae jamani ndo nini kwenda kwa Camilla wakati Princess Di was just a perfect and beautiful soul!!!
Yaani Charles ana umalaya wa damu...mboga saba toto la mama, halijishughulishi, chapombe mbaya,halifanyi mazoezi unafikiri genye zitamuacha salama?

Huyo Camilla sio kwamba she's so special, Charles ana mademu kibao tuu sema huyu aliamua kukomaa nae tuu!
 
huyo huyo charlotte itakuwa nimechanganya.

halafu hii familia ina mambo mengi sana unajua david cameron ni from royal family babu yake sijui wa ngapi alikuwa bao la nje la mfalme
Babu yake na David Cameron ni Sir Donald Cameron aliewahi kuwa Gavana wa Tanganyika. Yes babu yake alikuwa mwanaharamu wa kifalme kama kwa Maalim Seif Shariff Hamad na Sultan wa Zanzibar
 
Huyo mutual friend ametajwa kama Consultant,ni Consultant wa nini?

Nadhani huyo atakuwa ni rafiki wa karibu wa Meghan lakini ameolewa na classmate au schoolmate wa Harry ambae amesoma na Harry na William pale Eton.

Hivyo kama ni huyo atakuwa ni mmoja watu ambao huitwa socialite yaani wamo wenye mfumo wa ndani wa urafiki kati ya watu wenye uwezo na ambao wanafahamiana kwa undani.

Nafikiri utakuwa umenielewa.
 
Sio wazungu tu; hata mimi wa Mchambawima sijaipenda kabisa ndio maana nikauliza amekosa kabisa demu "bora" wa Kiingereza hadi akaokote masanii ya kimarekani tena machotara?
Acha ubaguzi
 
Haya mambo ya Ufalme yangekufa tu,
Mijitu inakula tu hela za nchi bure bure haifanyi kazi yoyote

Mkuu, William na Harry ni askari kamili na wamefuzu Sandhurst hivyo ukiwaona na suti ni kwamba hawako kikazi.

William ni rubani wa helikopta za uokozi na Harry yumo kwenye special forces na ni kamanda anaeendesha helikopta aina ya Apache sasa hivi ana cheo cha kanali.

Baba yao ni Navy kamanda yaani anaendesha yaani akiwa majini anaendesha meli, akiwa juu anaendesha ndege za kivita na helikopta na akiwa chini ardhini anaongoza vikosi vya ardhini.

Hawa watu wanafanya kazi ambazo kwao zaitwa "engagements" ambapo hujishughulisha na mifuko na kusaidia jamii kupitia mifuko hiyo.

Wanazunguka kila mahala na wana ofisi kabisa na wasaidizi.

Hivyo, ingawa wanakula kodi ya waingereza lakini na wao wanafanya kazi.
 
Sababu zipi mkuu

Moja kuu ni kwamba wanataka kufanya shughuli za kijamii zaidi na watakuwa zaidi wakija Afrika kule Botswana, Rwanda na Lesotho.

Meghan amefanya ziara Rwanda tayari akiwakilisha UN na amefika Botswana na Harry mwezi September.

Harry Lesotho ni kama kwake huenda kila mara.

Wanapenda Adventures na hiyo kitu ni nzuri sana.

Hivyo hawa ni wenzetu.
 
Mkuu, William na Harry ni askari kamili na wamefuzu Sandhurst hivyo ukiwaona na suti ni kwamba hawako kikazi.

William ni rubani wa helikopta za uokozi na Harry yumo kwenye special forces na ni kamanda anaeendesha helikopta aina ya Apache sasa hivi ana cheo cha kanali.

Baba yao ni Navy kamanda yaani anaendesha yaani akiwa majini anaendesha meli, akiwa juu anaendesha ndege za kivita na helikopta na akiwa chini ardhini anaongoza vikosi vya ardhini.

Hawa watu wanafanya kazi ambazo kwao zaitwa "engagements" ambapo hujishughulisha na mifuko na kusaidia jamii kupitia mifuko hiyo.

Wanazunguka kila mahala na wana ofisi kabisa na wasaidizi.

Hivyo, ingawa wanakula kodi ya waingereza lakini na wao wanafanya kazi.
Anhaa,
Ahsante Mkuu.
Lakini Value ya Shughuli za Jamii ambazo hawa jamaa wanaisadia UK v/s Value ya Gharama ambazo nchi inazitumia kuwatunza hawa watu, ipi nyingi??
 
Back
Top Bottom