Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Sijawahi sikia amekiri japo mhuni sana yule babaHivi na Jayz alikiri kuwa ana alikua na michepuko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi sikia amekiri japo mhuni sana yule babaHivi na Jayz alikiri kuwa ana alikua na michepuko
Kumbee!Alicia ndo amezaa na switzbeat?Brandy yule first born wake cha kike, baba mtu katangazaga ndoa halafu akala kona kali! Akawa single mother
Mwaka juzi kachumbiwa tena na jamaa mmoja ile kama wiki tu wafunge ndoa jamaa akamtext brandy kuwa kancancel kilakitu! Upo nyonyo?
Haya huyo Alicia keys na uzuri + ustaa kamkwapua Mme wa Mashonda ( Swiss Beatz) jamaa ni marioo full
Alicia anamhonga balaa ili asimkimbie!
So omba Mungu uwe na mibahati humu duniani sio sura, shape, or pesa!
Jamani Kim hajaalikwa atakuwa kajisikia vibayaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anavyojionaga kekiHakumuelewa na ndo maana
Sanaaa...yule mdada siku jigga akilogwa ampe talaka atajuuuta! Hawezi pata mwanamke mvumilivu ka Beyonce!Uvumilivu wa kiwango cha lamiii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbongooo huyoooNasikia Harry alikuwa amelewa akawapa mchapo washikaji kuwa Meghan ana papuchi tamu balaa![emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kichaa yule![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Brandy ana kimavi sio cha dunia hii!Kumbeee Alicia anamuhonga bwana yule ahahahahaj
Hiyo ya brand kiboko
Hajaaalikwa yule!Beyonce je
Haahaaa....king'ang'anizi hatareeBeyonce atakuwa kabila la faraja nyarandu hawaachikagi wale [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haaahaaa....haachiki mtuUnamuachia nanii kirejareja afu uelekee wapi
Yaaaap! Rihanna ni main chick wake hadi now! Anampenda balaa
Ukitaka Bey aishiwe pozii, ni riri awe round, ni anakosa amani!
Duu halaf alimgonga rihana kipindi kile unakumbuka
Haaahaaa...wa kwanza kuiga Wema!Kibongo bongo hivyo vikofia wataiga soon
Hivi Harry alimla rihanna au were jus friends?Ex yupi mkuu? Maana Harry ana mademu wengi sana
Wa mwisho kabla ya Meghan anaitwa Chassy? Ndo huyo?
Tatizo gundu Numbisa....hii dunia ngumu sana!Jojo bana sijui ni nyota au nini kila akifanyacho kinaonekana cha kawaida mno