witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Mama Sabrina haelewi mkia uko wapi wala kichwa kiko wapi?Ni yule aliyetembea na Meghan kuingia kanisani
Yeye na Kim kardashian tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama Sabrina haelewi mkia uko wapi wala kichwa kiko wapi?Ni yule aliyetembea na Meghan kuingia kanisani
Nimemuona na meghan nae mbona yupo tu mama yake tu jamaniNi yule aliyetembea na Meghan kuingia kanisani
Alitaka kuolewa na mwarabu wa Misri but makazi England, plus alikuwa na ujauzito wake, wakammaliza!Heeeee jamani kumbe Sasa si dina wangemuachaga tu walimuua kivipi wakato ashaachana na charles
Nimemuona na meghan nae mbona yupo tu mama yake tu jamani
Yaan jamani hawa watu wananichanganya ila nimeanza kuelewaaMama Sabrina haelewi mkia uko wapi wala kichwa kiko wapi?
Yeye na Kim kardashian tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Binamu unanidhalilisha tafadhaliNi yule aliyetembea na Meghan kuingia kanisani
Baba mzazi wa kina Harry yupo au ashakufa nae
Mtoto Meghan!View attachment 781272
Ile familia ya Meghan kama ya tandale kwa kina Domo ...full maigizooNimemuona na meghan nae mbona yupo tu mama yake tu jamani
Na wamekomeshwaaaaBaba ake mgonjwa. Lakini wengine wanadai ni "family drama"
Real? Mbona liko classy hivo?Kapendeza!
Halafu umesikia kachukua unknown designer kabisa, kwa hili gauni lake.
hilo lijamaa lilevi mnooo kwani hamjui "" kwanza halipendi maisha ya kifalme " falme ..alikuwaga msumbufu mnoo enzi za teenagerNahisi litakuwa linakula ngada
hilo lijamaa lilevi mnooo kwani hamjui "" kwanza halipendi maisha ya kifalme " falme ..alikuwaga msumbufu mnoo enzi za teenagerNahisi litakuwa linakula ngada
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Binamu unanidhalilisha tafadhali
Yupo ndie alimungoza Bi harusi. Babaake bi harusi hakuhudhuriaBaba mzazi wa kina Harry yupo au ashakufa nae