Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Mwanamfalme wa Uingereza Harry kufunga ndoa na muigizaji wa Marekani Meghan Markle

Mambo ya wanasiasa Harry kachomoa!

Katafuta washkaji tuu!

Ila kwanini hajamuita Riri?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] riri angekuwa talk of the town mamaa....

Wameangalia wale ambao hawana maajabu sanaa ndo waliowapendekeza!!!
 
Wewe kweli?

Maskini kitoto cha mwisho kilikuwa kinadekezwa!

Harry ishu ya mamake bado inamtesa!

Umesoma quote ya Diana 1995?
Hyo hapo

Quote ipi hyo?ngoja nikaisome
Screenshot_20180520-091545.jpg
 
Sio wazungu tu; hata mimi wa Mchambawima sijaipenda kabisa ndio maana nikauliza amekosa kabisa demu "bora" wa Kiingereza hadi akaokote masanii ya kimarekani tena machotara?
we nani bana hata usipende? mtu hata bashite tu hakujui sembuse level za Mwanamfalme...
 
Back
Top Bottom