Hujakosea.Anaonekana team Kiringo
huyu si alikonda sana , imekuwaje tena?Jamaa ni punga la waziwazi.
Huyo mhindi mnasema ni mtanzania? wf
Ukishakuwa star unachukuliwa kama role model ktk jamii.Waswahili ukipata mafanikio na ukawa na scandal bala tupu,muda wote scandals zako zitazungumzwa kuliko mafanikio!
Alikonda kwa kufanyiwa tiba huko india nashangaa ubonge nyanya umemrudiahuyu si alikonda sana , imekuwaje tena?