Mwanamitindo Hassanali Ikulu ya Buckingham Palace London

Mwanamitindo Hassanali Ikulu ya Buckingham Palace London

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
February 19, 2018
Mwanamitindo maarufu Nchini Tanzania amealikwa ktk Makazi ya Malkia Buckingham Palace ya London Uingereza. Mustafa Hassanali amepata nafasi ya kualikwa kuhudhuria maonesho ya mavazi ya nchi wanachama 53 wa Jumuiya ya Madola.

Source: Bongo5
Duchess of Cambridge hosts fashion reception at Buckingham palace


Mustafa Hassanali at the Commonwealth Fashion Exchange London 2018
 
Waswahili ukipata mafanikio na ukawa na scandal bala tupu,muda wote scandals zako zitazungumzwa kuliko mafanikio!
 
btw, buckingham palace ni kasri, si ikulu, kwani humo hakai rais ila malkia au mfalme. Hilo tu FYI!
 
Back
Top Bottom