Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Kumlaumu kwa kipi? Mi mbona sijawahi kumlaumu....au kuna mahali ulinisoma namlaum????Hormones zinachangia +malezi,tusimlaumu kabisa mtoto wa watu ila tuteme mate chini maana hakuna anaejua kesho ya watoto wetu
Don't mind lady take it easyKumlaumu kwa kipi? Mi mbona sijawahi kumlaumu....au kuna mahali ulinisoma namlaum????
Hahahahaa Bushmamy "Ukorofiiii" huo!!Haaaaa Acha maneno mingi kijana kasema kakumisi hatari, au hujaona nikuonyeshe? π
Sure there you are!Nimeona Leonardo Di Caprio amemuowa Angelina Jolie, Will Smith na Jada Pinket, nadhani hawa watu wanatakiwa kuowana wenyewe.
Flaviana alitakiwa kuolewa na mtu kama Hasanali yani mambo yao ni yaleyale, huku Luiza Mbutu wa Twanga yupo na Farijala Mbutu mpiga gitaa, wote kazi zao kukesha kurudi nyumbani usiku mkubwa.
Ukijichanganya kujiingiza kwa hawa watu wakati wewe upo nje ya mfumo wao umeumia.
[emoji23][emoji23][emoji23] akuje bas jomoneeh.Tulia my atakuja tu.
Sure there you are!
Haaaaa Haaaaa π,hope mmekutana, mtu na Bro wake[emoji23][emoji23][emoji23] akuje bas jomoneeh.
Kanichekesha na comment yake fulan, kikubwa muambie dunia sio sehem salama akazane malezi bora kwa wanae, kikubwa jambo hili ni siri ko awe mpole, simuombei akutwe nayo la hasha, ila akazane ktk malezi.Haaaaa Haaaaa [emoji23],hope mmekutana, mtu na Bro wake
Worry out my, nakupendaga hadi naumwa ujue, hujuagi kukasirika πKanichekesha na comment yake fulan, kikubwa muambie dunia sio sehem salama akazane malezi bora kwa wanae, kikubwa jambo hili ni siri ko awe mpole, simuombei akutwe nayo la hasha, ila akazane ktk malezi.
[emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590]Worry out my, nakupendaga hadi naumwa ujue, hujuagi kukasirika [emoji8]
Anajua nini anataka huyo binti!ndo maana katuliaMnapokubaliana kufunga ndoa, maana yake ni kwamba kuna makubaliano ya kimkakati kuhusiana na maisha yenu mmejadiliana na kukubaliana. Kubwa moja wapo ni kuhusiana na ajira na kipato.
Changamoto huja; Mmoja anapobadilika katikati ya safari ya ndoa, mfano (hauhusiani na Flavy) tunakubaliana lets say utafanya mambo ya urembo hapa US kwa 90% inayobaki utafanyia kwingine na mimi shughuli zangu zitakuwa hapa hapa ili tupate kuijenga na kuiimarisha ndoa yetu.
Baada ya ndoa unabadilika, 95% shughuli zako unafanyia nje ya US, jukumu la ndoa linakuwa si kipaumbele tena. Lazima mgogoro uanze. Na hii inareflect pande zote kike na kiume!!
Kikubwa si kufanana, unapooa au kuolewa maana yake umeongeza jukumu!! Lile jukumu unaloongeza utalimudu? Utalilea? Na makubaliano mnayokubaliana utakwenda nayo maisha yenu yote? Amini nakuambia, ukikubaliana na mwenzio na mkaenda sawa. Ndoa hudumu, ila ukibadilika tu! Umeharibu!!
Vijana wengi siku hizi hubadilika, bint mmoja alikuwa maarufu kipindi cha nyuma kidogo. Jamaa kaoa, wamekubaliana wakaishi Arusha, binti katulia tuliii ndoa inakwenda na anafanya biashara zingine kabisa tena kwa mafanikio.