Carbondioxide
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 733
- 195
Alikiba ft domo coming soon tupo kwenye maandalizi ya mwishoItakuwa ya moto sana hii..
Mafikizolo ft. Diamondplatnumz
Alikiba ft domo coming soon tupo kwenye maandalizi ya mwisho
Ushabiki sasa huo sio realityHaitakuwa nzuri hata kidogo.. Japo haipo na sidhani kama itakuja kutokea.. Hii mambo ya wasanii kukutana kwa sababu ya majina na si wimbo unaowahitaji haifai, ndio maana collable za wasanii wakikutana na wasanii wakubwa huwa zinakuwa za kawaida tu
Ulisikia wimbo wa Tanzania, uliotungwa kipindi cha uchaguzi alikiba na diamond wakiwa ndani??? diamond mbaaaaaaaaaaaaaya, embu utafute uone alivyowagalaza wenzake
Ushabiki sasa huo sio reality
Huyo mzee asiyezaa magese ndio amekua mrembo??..yaani wamekosa warembo kbs??
Alikiba ft domo coming soon tupo kwenye maandalizi ya mwisho
Huyo mzee asiyezaa magese ndio amekua mrembo??..yaani wamekosa warembo kbs??
Hujafa hujaumbika
Mungu epushia mbali hii collaboAlikiba ft domo coming soon tupo kwenye maandalizi ya mwisho
Kidingi umekosea tutavunja record ya gangnam style ya PSYIla ikija kutokea nitafurahi sana mkuu.. nawakubali sana hawa watu.. Sema itapendeza kama wakija kupatana na kutengeneza dude, kabla yake watengeneze mazingira ya bifu zittttto, ili ngoma ije ikiki kupindukia hata views tutavunja rekodi ya adele
Eti hujafa hujaumbika nami nakuambia ujana maji ya moto!!!!! mamiss wengi hawataki kuzaa na njia wazazotumia kuzuia mimba wanazijua wenyewe ...ikifika mahali wanashindwa kubeba mimba wanataka kila mtu awahurumie ,,kama si upuuzi kitu gani?? sasa huyo magese na wema wamejitangaza tayari tusubiri Jokate na wenzake soon!!..yule wa mengi hatujui gharama iliyotumika mpaka akabeba mimba uzeeni..nyie endeleeni tu
Huyo Magese ndio amekua mrembo??..yaani wamekosa warembo kbs??