Mwanamitindo wa kimataifa, Millen Magese aonekana videoni mpya

Mwanamitindo wa kimataifa, Millen Magese aonekana videoni mpya

Huyu mtoto mbaaaaaaaaya aaaah nimeona kipande ya hii kitu ni mwisho wa matatizo, inachezeka balaa, colours of Africa....

Afu dizain kama hizi za kushirikishwa zitampa sana airtime kufanya tusubiri kwa muda zaidi jiwe lingine
-Aka ft. Diamond
-Mafikizolo ft. Diamond
-AY ft. Diamond
Muda wowote mizigo inaachiwa.. Nimeona na bob junior nae kabla mwaka haujaisha aachie ngoma kamshirikisha Diamond, bado tena Q chief ft. diamond duuuuuuuuh

Aaah je UTANIPENDAGA....!!!

Ama kweli ukipenda chongo huita kengeza!
 
42c6843f1463b7bbc7b929748ca2cdf5.jpg

Akutukanaye hakuchagulii tusi aiseeee....
 
Back
Top Bottom