Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
Kumradhi,Mama mmoja anayeishi huko kibaha na alikuwa mwalimu wa shule ya msingi na mlokole wa kanisa la kilokole picha ya ndege amefariki baada ya kutembea na rafiki wa mumewe.
jamani tego zingine mbaya kabisa.ni lini wake zetu watatulia?
Kumradhi,
Na aliyekuwa anatembea naye hakufa? Huyo ambaye umesema ni rafiki wa mumewe, hakuwa na mke?
Nachelea kusema "Rest In Peace" kwa marehemu....
bravo mummy kwanza inawezekana huyo rafiki wa mumewe ndiye aliyemtia majaribuni mke wa rafiki yake , sasa inakuwaje chaku umseme mwanamke peke yake na tendo hilo wamelifanya wote? mhhhh give us a break kwanza umetoa kwenye gazeti gani? la udaku?Na wanaume watulie kwani umesikia amekutana na mtoto? Si mume wa rafiki yeke
Correct your statement.
Ni lini binadamu tutatulia na kuwa waaminifu!
Ehe asante sana kwa ufafanuzi wako, sasa hiyo coital hypertention ndo nini kwa maelezo ya undani zaidi. Je dawa yake au kinga ni nini! ntashukuru sana kwa ufafanuo huo.Alipata kitu kinaitwa coital hypertension alizidiwa utamu ,huwa inatokea mara nyingi kwa wanaume lakini na wanawake kwa hiyo hakuna tego
Kuna sababu nyingi zinazosababisha kifo. Kwa jinsi habari hii ilivyokuja, haiweki bayana uhusiano wa kifo cha huyo mama na kutembea kwake nje ya ndoa. Ninachosema ni kwamba inawezekana kweli ametembea nje ya ndoa yake, na inawezekana kweli amekufa; lakini mbona mleta habari hajaonyesha mahali kwamba alikufa kwa sababu ya kutembea nje ya ndoa? Je, amefia kitandani/kifuani? Je, amekufa immediately baada ya kutoka kwenye uzinzi? Na interval ilikuwa muda gani btn the two events? Inawezekana amekufa kwa sababu nyingine pamoja na kwamba amefanya mapenzi nje ya ndoa. Naombeni habari kamili.Mama mmoja anayeishi huko kibaha na alikuwa mwalimu wa shule ya msingi na mlokole wa kanisa la kilokole picha ya ndege amefariki baada ya kutembea na rafiki wa mumewe.
jamani tego zingine mbaya kabisa.ni lini wake zetu watatulia?
bravo mummy kwanza inawezekana huyo rafiki wa mumewe ndiye aliyemtia majaribuni mke wa rafiki yake , sasa inakuwaje chaku umseme mwanamke peke yake na tendo hilo wamelifanya wote? mhhhh give us a break kwanza umetoa kwenye gazeti gani? la udaku?
Ehe asante sana kwa ufafanuzi wako, sasa hiyo coital hypertention ndo nini kwa maelezo ya undani zaidi. Je dawa yake au kinga ni nini! ntashukuru sana kwa ufafanuo huo.
Ndo maanake ndugu...angalia spelling zako pia.Hivi ndivyo nipendavyo penny hana muhali na mtu, ikiwa jambo halielewi haweki dukuduku moyani anajiulizia,kwani kuliza si ujinga wahenga walisema uliza ujinga uerevuke .
Mama mmoja anayeishi huko kibaha na alikuwa mwalimu wa shule ya msingi na mlokole wa kanisa la kilokole picha ya ndege amefariki baada ya kutembea na rafiki wa mumewe.
jamani tego zingine mbaya kabisa.ni lini wake zetu watatulia?
[/QUOTE]
Hivi kwa nini kila kosa la zinaa linamwendea mwanamke na hali mwanaume ndiye huwa mwanzilishi????
Tukijifanya hatujui chanzo cha tatizo/au kurushiana lawama basi kamwe hatutatua tatizo na ukimwi utaendelea kutufagia. Nimesema hivyo kwa sababu hizi:
1. Tunalia na madangulo lakini Mteja Mkubwa wa hili soko ni wanaume (shame on you!);
2. Huyo mwanamke wa mtu aliyekufa baada ya ngono alikuwa anafanya ngono na nani🙄, siyo mme wa mtu huyo???
3. Mara zote mume akishikwa ugoni, basi aibu ni ya mwanamke, why???
4. Akifuatwa kimada kuonywa aache tabia yake, atakujibu huyo mumeo ananifuata mwenyewe, tena kwa maringo makuuu anakujibu "Mfungie mumeo ndani"
Myanaume imekuwa kama mizumbukuu, inapelekwa tu, halafu ndo yenyewe ya kwanza kulaumu wanawake! syeeeee!!!
R.I.P mama.
Kuna sababu nyingi zinazosababisha kifo. Kwa jinsi habari hii ilivyokuja, haiweki bayana uhusiano wa kifo cha huyo mama na kutembea kwake nje ya ndoa. Ninachosema ni kwamba inawezekana kweli ametembea nje ya ndoa yake, na inawezekana kweli amekufa; lakini mbona mleta habari hajaonyesha mahali kwamba alikufa kwa sababu ya kutembea nje ya ndoa? Je, amefia kitandani/kifuani? Je, amekufa immediately baada ya kutoka kwenye uzinzi? Na interval ilikuwa muda gani btn the two events? Inawezekana amekufa kwa sababu nyingine pamoja na kwamba amefanya mapenzi nje ya ndoa. Naombeni habari kamili.
Ehe asante sana kwa ufafanuzi wako, sasa hiyo coital hypertention ndo nini kwa maelezo ya undani zaidi. Je dawa yake au kinga ni nini! ntashukuru sana kwa ufafanuo huo.
Mama mmoja anayeishi huko kibaha na alikuwa mwalimu wa shule ya msingi na mlokole wa kanisa la kilokole picha ya ndege amefariki baada ya kutembea na rafiki wa mumewe.
jamani tego zingine mbaya kabisa.ni lini wake zetu watatulia?
[/QUOTE]
Hivi kwa nini kila kosa la zinaa linamwendea mwanamke na hali mwanaume ndiye huwa mwanzilishi????
Tukijifanya hatujui chanzo cha tatizo/au kurushiana lawama basi kamwe hatutatua tatizo na ukimwi utaendelea kutufagia. Nimesema hivyo kwa sababu hizi:
1. Tunalia na madangulo lakini Mteja Mkubwa wa hili soko ni wanaume (shame on you!);
2. Huyo mwanamke wa mtu aliyekufa baada ya ngono alikuwa anafanya ngono na nani🙄, siyo mme wa mtu huyo???
3. Mara zote mume akishikwa ugoni, basi aibu ni ya mwanamke, why???
4. Akifuatwa kimada kuonywa aache tabia yake, atakujibu huyo mumeo ananifuata mwenyewe, tena kwa maringo makuuu anakujibu "Mfungie mumeo ndani"
Myanaume imekuwa kama mizumbukuu, inapelekwa tu, halafu ndo yenyewe ya kwanza kulaumu wanawake! syeeeee!!!
R.I.P mama.
LAZIMA UKITONGOZWA UKUBALI?KAZI YA MWANAUME NI KUTONGOZA HIVYO MWENYE KUVUA NGUO HAPO NI MWANAMKE NDO MAANA LAWAMA HAITAKUJA KUISHA KUWALAUMU HAO WANAWAKE.
KUTONGOZWA NI SEHEMU YA MAISHA YAO KUKUBALI NI MAAMUZI YA MWANAMKE.HIVYO MWANAMKE ANAKOSA KUBWA!!
SWALI NI KWAMBA HALIZIKI NA MUMEWE?AU KUNA TAMAA NYINGINE ZAIDI YA HILO.