Mwanamke agoma kufua kitambaa cha mkononi cha mmewe

Bila shaka hizi likes utakuwa umepewa na wadada,kiufupi kwenye Uzi wa Jamaa hapo Hamna Mke.
Siku Jamaa akiumwa kiasi cha kujinyea,ajiandae kuhudumiwa na ndugu zake.
 
Hivi kadri muda unavyozidi kwenda na akili zinawapukutika au?
 

Huyu mwanaume hana tabia za mume ila ana zile tabia za Tipputipu kabsaaaa
 
Bila shaka hizi likes utakuwa umepewa na wadada,kiufupi kwenye Uzi wa Jamaa hapo Hamna Mke.
Siku Jamaa akiumwa kiasi cha kujinyea,ajiandae kuhudumiwa na ndugu zake.

Huyo Jamaa nae sijui vipi!?

Hakuwa na sababu ya kuamrisha hicho kitambaa kifuliwe kama kigezo cha binti kuwa mke sahihi...

Style aliyotumia inamkosesha hata kupata feedback sahihi kwa kile anachotaka kupima
 
Wanaume hawana moyo wa kuvumilia na uhakika angekua huyo dada anaumwa sizan kama hii mada ata ingeletwa jukwaani ila kwa sababu ni mwanaume.....
Dada umeolewa tayari au unaye boyfriend??
 
Kama pampers zinatupwa, hata hicho kitambaa kitupwe vinunuliwe vingine...
 
Ndio amfulishe kamasi???????
 
Yaani wewe na huyu rafikiyako bure kabisa ndo mkaona mje kuomba ushauri wa kitambaa cha mafya hapa JF? Shenzi mwili wote
 
Aah nimeskia kinyaa😬, nahisi hata mimi sitoweza kukifua, ntakitupa nikununulie vingine tu kwani sh ngapi bana, ila na yeye asimtese dada wa watu kwani yeye huwezi kukifua fasta tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…