real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,299
Mwnamke mmoja amehukumiwa kifungo cha miezi 6 jela kwa kutumia kiasi cha Kshs. 27,140 kilichotumwa kwenye kwenye akaunti yake ya M Pesa kimakosa
Mwaname huyo aliyefahamika kwa jina la Margaret Njeri alishindwa kulipa faini ya Kshs. 40,000 kwa kosa hilo na alipelekwa gereza la Embu kutumikia adhabu yake hiyo
Njeri alituhumiwa kuiba fedha hiyo aliyotumiwa na Richard Mbui kimakosa mnamo Disemba 7
Mbui aliomba kurudishiwa fedha hiyo lakini Njeri alizima simu yake ili asipatikane
Njeri alikiri kosa hilo na kusema alikuwa na majukumu aliyshindwa kulipia na ndio ilifanya atumie fedha hizo
Aliomba kulipa deni hilo kwa mafungu ya Kshs 2,000 kila mwezi lakini jaji wa kesi hiyo akasema itachukua muda mrefu mno
========================================================
Mbui asked her to return the money but Njeri went on to withdraw and use the cash and switched off her phone to avoid being traced.
She pleaded guilty, saying she had some pending commitments and she used the money on it.
The accused pleaded with resident magistrate Jean Ndegeri to be allowed to pay it back in installments of Sh2,000 a month.
But Ndegeri said such an arrangement would take too long.
She said the complainant will be reimbursed from the Sh40,000 fine.
A woman has been jailed for six months for using Sh27,140 that was accidentally sent to her Mpesa account.
Margaret Njeri was unable to pay the Sh40,000 fine for the offence and was taken to Embu prison to start her sentence.
Source: The Star